Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana ndani ya CHADEMA ambayo itakiangamiza na kukiteketeza kisipoomba radhi na kutubu hadharani

Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana ndani ya CHADEMA ambayo itakiangamiza na kukiteketeza kisipoomba radhi na kutubu hadharani

SIUNGI MKONO KUCHOMA NGUO HIYO NI LAANA WANAITAFUTA KWA NGUVU.

KUNA WANAWAKE HAWANA NGUO WANATEMBEA UCHI NI MASIKINI NI KWANINI WASINGEWAPA HAO???

HILO SIUNGI MKONO .
Kwanini huo aliyewapa asingewapa hao wasio na nguo? Au alisikia hao Bawacha wana shida ya nguo?
 
Yaani MWENYE DHAMBI amuombe radhi MWENYE DHAMBI MKUU!

Dunia simama nishuke 😄😄😄
 
Kuchoma vitenge na kupotea watu kipi kinaleta laana Kwa nchi!!?

Lucas kama wewe ndio sehem ya think tank ya chama basi tumepigwa na kitu kizito!

Mkamfunge Sasa kama mlivyomfunga yule kijana aliechoma picha kule Mbeya!
 
Hata wewe ukipatikana uchomwe tu sio vitenge peke yake, hakuna laana ya kuchoma vitenge visivyo na faida.
 
Inatosha tu kusema, "Walichokifanya BAWACHA si cha kiungwana na kinachochea chuki... Na kinapaswa kukemewa..."

Suala la laana Mungu hapangiwi; anajua yeye cha kuwafanya.
Kuna siku uliandika comment kama hiyo inayokemea utekaji na mauwaji wanayofanyiwa wapinzani?
 
Back
Top Bottom