Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana ndani ya CHADEMA ambayo itakiangamiza na kukiteketeza kisipoomba radhi na kutubu hadharani

Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana ndani ya CHADEMA ambayo itakiangamiza na kukiteketeza kisipoomba radhi na kutubu hadharani

Ndugu zangu Watanzania,

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani Mungu haoni ya upande wenu mpaka atoe laana upande wa wenzenu? Laana ilitakiwa ianze kwenu mkuu.
 
Laana imeletwa na wanawake wenu wa BAWACHA itawatafuneni nyote.ni kama vile mmeletewa na kulishwa chakula chenye sumu.mtaangamia wote.
Hivi Watanzania nani katuloga? Yaani mtu akiwa tofauti na maoni yako tu unamhusisha na chama fulani... Kwamba ndani ya CCM watu hawawezi kutofautiana mitazamamo? Tatizo nini, au ndo chanjo za corona?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
ndugu waandishi nichukue fursa hii kuwapongeza bawacha
kwakukataa rushwa hadharani kwa kuzichoma kwa moto rushwa zenyewe
na inaonekana moshi wa rushwa umesababisha taharuki kwa chawa wa mtoa rushwa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wamama wale watu wazima kabisa wa BAWACHA wamefanya kufuru ya laana mbaya sana tena hadharini huku wahitaji mbalimbali wakishuhudia vitu ambavyo wanavihitaji sana viwasitiri, vikichomwa moto bila sababu ya maana dah aise 🤭
 
Back
Top Bottom