Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Ombwe kubwa sana la uongozi ndani ya CHADEMA.ndio maana utoto wa namna hiyo unafanyika pasipo kukemewa na mtu yeyote yule.maana chama kinakuwa ni kama kinaongozwa na kipofu.nimewashanga sana wallah ni kama hakuna watu wazima wa kuwaongoza
Laana itawatafuneni sana.Laana unayo wewe na chama chako
na ulevi nafikiri ndio shida nayoKuna Ombwe kubwa sana la uongozi ndani ya CHADEMA.ndio maana utoto wa namna hiyo unafanyika pasipo kukemewa na mtu yeyote yule.maana chama kinakuwa ni kama kinaongozwa na kipofu.
😀😀😀Wamevurugwa sana akili hawa watu.wanafanya mambo ya kitoto sanana ulevi nafikiri ndio shida nayo
Kwani Mungu haoni ya upande wenu mpaka atoe laana upande wa wenzenu? Laana ilitakiwa ianze kwenu mkuu.Ndugu zangu Watanzania,
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
akina mbowe wazee wa konyagi amna kitu pale😀😀😀Wamevurugwa sana akili hawa watu.wanafanya mambo ya kitoto sana
Laana imeletwa na wanawake wenu wa BAWACHA itawatafuneni nyote.ni kama vile mmeletewa na kulishwa chakula chenye sumu.mtaangamia wote.Hahaha kwa uhusika gani mkuu? Kwamba nami nilipewa vitenge?
Sasa wewe sema ya upande wenu Utafikiri umewahi kuona upande mwingine ukifanya kitendo cha kishetani cha kuchoma VitengeKwani Mungu haoni ya upande wenu mpaka atoe laana upande wa wenzenu? Laana ilitakiwa ianze kwenu mkuu.

Hivi Watanzania nani katuloga? Yaani mtu akiwa tofauti na maoni yako tu unamhusisha na chama fulani... Kwamba ndani ya CCM watu hawawezi kutofautiana mitazamamo? Tatizo nini, au ndo chanjo za corona?Laana imeletwa na wanawake wenu wa BAWACHA itawatafuneni nyote.ni kama vile mmeletewa na kulishwa chakula chenye sumu.mtaangamia wote.
Zinachomwa noti itakuwa vitenge mkuu? 😀Sasa wewe sema ya upande wenu Utafikiri umewahi kuona upande mwingine ukifanya kitendo cha kishetani cha kuchoma Vitenge
Embu weka video hapa tuone unavyochoma noti ukiwa na akili yako timamuZinachomwa noti itakuwa vitenge mkuu? 😀

ndugu waandishi nichukue fursa hii kuwapongeza bawachaNdugu zangu Watanzania,
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Laana inakusumbuandugu waandishi nichukue fursa hii kuwapongeza bawacha
kwakukataa rushwa hadharani kwa kuzichoma kwa moto rushwa zenyewe
na inaonekana moshi wa rushwa umesababisha taharuki kwa chawa wa mtoa rushwa
Wamama wale watu wazima kabisa wa BAWACHA wamefanya kufuru ya laana mbaya sana tena hadharini huku wahitaji mbalimbali wakishuhudia vitu ambavyo wanavihitaji sana viwasitiri, vikichomwa moto bila sababu ya maana dah aise ðŸ¤Ndugu zangu Watanzania,
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni watu wazima ila hawajitambui kabisa .wamama wale watu wazima kabisa wa BAWACHA wamefanya kufuru ya laana mbaya sana tena hadharini huku wahitaji mbalimbali wakishuhudia vitu ambavyo wanavihitaji sana viwasitiri, vikichomwa moto bila sababu ya maana dah aise ðŸ¤