Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Inasikitisha sana kuona wa mama wa aina hii nyakati hizi za utandawazi, sayansi na techologiaNi watu wazima ila hawajitambui kabisa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana kuona wa mama wa aina hii nyakati hizi za utandawazi, sayansi na techologiaNi watu wazima ila hawajitambui kabisa .
huenda walikua wanafanya ushirikina ee?🐒Na wewe huna hekima kama wao. Anayelaani ni Mungu, mwachie yeye. Hayo unayowanenea sio kazi yako...
CHADEMA kuna ombwe kubwa sana la uongozi.chama kinakwenda utafikiri kinaongozwa na kipofu gizani.Inasikitisha sana kuona wa mama wa aina hii nyakati hizi za utandawazi, sayansi na techologia
Nyie CCM ndiyo mnapaswa muwe wa kwanza kuomba redhi na kutubu hadharani kwa kuteka na kuua wakosoaji wa serikaliNdugu zangu Watanzania,
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uchamaji perege VS vitenge, aliyechoma perege kule kyela baada ya kutoka gerezani kapotezwa, waliochoma vitenge watapate laanaNdugu zangu Watanzania,
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kuchoma vitenge ni laana kubwa sana.watu kutekwa baada haijafahamika nani anayewateka na ndio maana uchunguzi unaendelea. Au wewe unawafahamu na una ushahidi wa kutosha wa watekaji?Laana ni ipi kati ya kuteka na kuua au kuchoma vitenge?
Embu andika kwa kutulia maana naona umeandika Utafikiri unakimbizwa nyuma na mbwa mwenye kichaaNyie CCM ndiyo mnapaswa muwe wa kwanza kuomba redhi na kutubu hadharani kwa kuteka na kuua wakosoaji wa serikali
kama unaweza kuchoma vitenge utashindwa kuua?Laana ni ipi kati ya kuteka na kuua au kuchoma vitenge?
Kuchoma picha ya mtekaji na muuaji hadharani ni jambo la baraka sana.Ndugu zangu Watanzania,
Mpaka sasa haieleweki ni nani alishauri ,kuwashauri na kuwapa mawazo ya kishetani BAWACHA kuchoma vitenge hNATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Bichwa limejaa tope na mchanga, laana anatoa Mungu.Ndugu zangu Watanzania,
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Laana itatamalaki milele juu ya watekaji na wauaji na machawa wao, wao wenyewe na vizazi vyao, maana hao waovu humwaga damu za wasio na hatia 📌Ni laana imebebwa na kubebesha uzao wao.kila kizazi kitaikuta laana hiyo iliyopandwa,kitakuta mbegu ya laana ikiwa imekomaa vizuri na ikitafuna vizuri bila huruma.
Vizazi vya CCM vyote vimelaaniwa haswaKuchoma vitenge na kuteka watu ns kuua ipi ni laana.
Umeelewa andiko langu au umejikurupukiaSasa we ndo mjinga mwanaume gani unalia lia kila siku vitenge kwani vitenge vinamsaidia nin mwananchi wa chini?!
Hivi huoni kuwa unalaanaVizazi vya CCM vyote vimelaaniwa haswa
Uwe na adabu dogo.Nyie UWT ni wajinga sn