Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana ndani ya CHADEMA ambayo itakiangamiza na kukiteketeza kisipoomba radhi na kutubu hadharani

Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana ndani ya CHADEMA ambayo itakiangamiza na kukiteketeza kisipoomba radhi na kutubu hadharani

Ndugu zangu Watanzania,

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nyie CCM ndiyo mnapaswa muwe wa kwanza kuomba redhi na kutubu hadharani kwa kuteka na kuua wakosoaji wa serikali
 
Laana ni ipi kati ya kuteka na kuua au kuchoma vitenge?
 
Ndugu zangu Watanzania,



Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uchamaji perege VS vitenge, aliyechoma perege kule kyela baada ya kutoka gerezani kapotezwa, waliochoma vitenge watapate laana
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mpaka sasa haieleweki ni nani alishauri ,kuwashauri na kuwapa mawazo ya kishetani BAWACHA kuchoma vitenge hNATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kuchoma picha ya mtekaji na muuaji hadharani ni jambo la baraka sana.
 
Bawacha kama kuna vingine hamjachoma, basi mseme nije na mafuta na kiberiti
 
Kuchoma wakati wengine hawana mavazi, ni kufikisha tu ujumbe. Ni kwa nini bangi inaposhikwa inaunguzwa badala ya kuuza na kupata pesa ya kusaidia masikini?
 
Ni laana imebebwa na kubebesha uzao wao.kila kizazi kitaikuta laana hiyo iliyopandwa,kitakuta mbegu ya laana ikiwa imekomaa vizuri na ikitafuna vizuri bila huruma.
Laana itatamalaki milele juu ya watekaji na wauaji na machawa wao, wao wenyewe na vizazi vyao, maana hao waovu humwaga damu za wasio na hatia 📌
Siyo mambo ya nguo
 
Unaongelea vitenge kila siku vp kama wangechoma pichu si ungekufa kabisa!
hopeless.
 
Back
Top Bottom