Yan shilole nae anataka ubunge ππππππ hakuna kazi raisi kama ya ubunge Tanzania... no kupiga meza na kusema ndio mzee na kuruka sarakasi kama unaweza alafu ikifika kipindi cha uchaguzi ni kubwa pikipiki na kofia nyiiingi alafu wapumbavu wanakuchagua tena au unaiba kura unarudi tena bungeni and the loop goes on kazi unakuwa ni kuwatuma kina lukasi kububujikwa na machozi na kina tlaataah kusema gentleman kazi inafanyika kwa Maliki ya ujira mdogo tena wa hela za kodi za watanzania wenyewe. Hakuna sehemu rahis kuitafuna nchi kama Tanzania na CCM ndio mana kuna group kubwa la wapumbavu wengi wamekimbilia kuchukua fomu huko ccm na wanautaka ubunge sababu ukiwa mbunge wa ccm huitaji akili yan ccm kazi yao ni kubebana tu hata kama nchi inazama hakuna kufanya logic na reasoning ya mambo. Kila mpenda urahisi wa mambo anajiita na majizi ili waibe wote vizuri. Inasikitisha sana