Uchumba kwake ilikuwa ni shida, ndoa nayo ni shida

Oya ukiwa una andika tuliza tako chini sio unaandika kama upo kwenye fumanizi. Hujahusisha akili kabisa ila upande wa kumbukumbu tu
 
mpaka kwenda kwa wazazi wake alilia Sana mapaka familia mzima ikajua
 
Mkuu me kusema kweli sijaelewa kabisa ngoja waje wengine
 
Sidhani Kama Kuna kichwa kitaelewa hapa labda wale wazee wa usongo hadi kieleweke...nimekuelewa.
 
Looh! Technician were!!
Yaani hadithi hii ingekuwa ni mtihani kwamba niandike jinsi nilivyoielewa sijui kama ningepata kitu. Huku mwishoni ndo umeshonanisha balaa. Ume-coil hata mwenyewe sijui kama utaelewa ukirudia kusoma ulichoandika.
 
Achilia mbali sisi wasomaji, ww mwenyew mwandishi umekielewa ulichokiandika
 
Majanga ya h! anakazi au hana kazi
 
Looh! Technician were!!
Yaani hadithi hii ingekuwa ni mtihani kwamba niandike jinsi nilivyoielewa sijui kama ningepata kitu. Huku mwishoni ndo umeshonanisha balaa. Ume-coil hata mwenyewe sijui kama utaelewa ukirudia kusoma ulichoandika.
Umekosea sio Technician...ni Techinician
 
Sasa ndio umeandikaje..kichwa cha habari kimekaa poa ila maelezo ya ajabu
 
Umeishia la Saba? Maana hujui kuandika
 
Kwa ambao ni wavivu kusoma summary ni:

Kuna Jamaa sasa hivi anajishughulisha na shughuli mbalimbali hapo nyuma alilia sana sababu aliachwa, ila ana mke anayemsumanga kwa kutokuwa na kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…