Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mimi nilivyoona tu Masters inaingizwa kwenye story ya mapenzi nikajuwa tu huu ni ugoro.Mwamba hii kitu umeandika hapa hata wewe mwenyewe umeielewa kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilivyoona tu Masters inaingizwa kwenye story ya mapenzi nikajuwa tu huu ni ugoro.Mwamba hii kitu umeandika hapa hata wewe mwenyewe umeielewa kweli?
Ndio huyo mwenye masters?Kwa ambao ni wavivu kusoma summary ni:
Kuna Jamaa sasa hivi anajishughulisha na shughuli mbalimbali hapo nyuma alilia sana sababu aliachwa, ila ana mke anayemsumanga kwa kutokuwa na kazi.
Itakuwa tu.Ndio huyo mwenye masters?
He/she is TechinicianMwamba hii kitu umeandika hapa hata wewe mwenyewe umeielewa kweli?
Daah shule zimefunga kwa kweli kwa uandishi huu , siajelewa kwamba Uzi imeisha au...Hi ishu ilimpata ndugu yangu mmoja upande wa mama. Ni iko hivi
Ni kijana mmoja hivi alikuwa anamasters na Ni mwalimu wa chuo flani nyanga za juu kusini na alikuwa Ana mchumba wake wa kike ambaye alikuwa anatarajia kufunga nae ndoa, alimpendaa Sana walienda mpaka kununua shela la harusi yao.
Shida ilianza yule Dada alikuwa Ana EX wake japo alikuwa anasoma UK alivyorudi huku bongo akamtafuta yule Dada wakakubaliana kuwa warudishe mahusiano yao na wakafanikiwa, yule Dada akaamua kumueleza ukweli yule mtarajiwa wake na akamrudishia shela yake. Yule kijana alilia ghafla mpaka kwenda kwa wazazi wake alilia Sana mapaka familia mzima ikajua , ikafika kipindi kijana alitaka kujinyonga kisa yule Dada, mpaka mama yangu akampigia simu ili kumsaidia kumfuta machozi.
Dada yake akaamua kumtafutia Mdogo wake binti alifanikiwa kumtafutia , na huyo mdada alikubalia kuwa naye coz jamaa alikuwa yupo fresh tuu, na Mdogo wake akakubali kuwa na yule dada. Wakaa kama mwaka mmoja hivi na miezi yake mapaka wakaamua wafunge ndoa .
Kwa upande wa yule Dada aliyemkataa akakorofishana na yule jamaa aliyetoka UK.
Siku ya ndoa yule jamaa kipindi anafunga ndoa alilia mbele ya kanisa na Baba yake Ni mchungaji , Basi mda wa harusi yule dada aliyemuacha alienda kwenye harusi na kuchukua zawadi ili kuwapa ila mama wa bwana harusi aliichukua ile zawadi akiogompa kuwa atakuwa kaweka kitu ili kumdhuru mwanae zawadi aliichukua mama yake.
Baada ya ndoa walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume. Ila juzi juzi hapa miaka Kama 3 iliyopita jamaa alitolewa pale chuoni alichukuwa anafundisha kutoka na vyo vingi kufungiwa na vingine kuzuia kutoa mafunzo flani katika chuo, so jamaa akawa anakazi ila mkewe akawa anayokazi,
Basi mkewe akaanza kushambaza maneno kwa friends wake na kumsema kuwa mumewe Ni dume suruhali coz yeye ndo anamrisha , ila yule jamaa yupo na mkewe coz watu wanasema kwa kuwa yule jamaa anaishi kwenye nyumba Yale tuu sio ya kupanga, jamaa mpaka leo anajishughulisha na shughuli mbalimbali.
😳Nimeogopa sanamapaka
🤦kushambaza
Delta 1, this is Alpha 1 reporting......
Female terrorist in sight.
Man down I repeat man down
Liverpool VPN Chaliifrancisco and Extrovert do you copy?
😂😂😂😂Jamaa ni yeye anasingiziwa rafiki
Hapa kachanganyikiwa ndio maana alicho andika hakieleweki