Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiohuyo ndo amesajiliwa Yanga?
Ngoja waje utaambiwa tusipangiane kila mtu na maisha yake...Mwanamke yuko uchi ama kweli tunarogwa, nijuavyo mimi mwanaume hata akiwa mhuni anataka mke mwenye heshima zake ndiyo sifa ya akili iliyosalimika lakini kuona kuona mwanaume muhuni anamvesha Pete ya uchumba ndicho kinachonishangaza, la kama huyo ni watano katika anaowavesha Pete ili apate kupopochoa kwa nafasi hilo jambo jengine
Copy n paste lifeShe could be just a naive who didn’t bother to learn the culture.