Uchumba wenu ulichukua muda gani Kabla ya ndoa?

nilimchukua na kuweka ndani nafikiri ilikua ni zoezi la miezi kama mitatu nikamuoa humohumo na mimba juu

hii ni bada ya mshezi moja kula mahari yangu akishirikiana na familia yake na kutokomea kusiko julikana, wabara wajinga kabisa
 
Malovee, miaka 2, uchumba miaka 3.
After that time nlikaa nkasema wazi kua hata nkipata mtu mwingine hawez kusonga ugali mgumu kama huyu, nkaenda kupeleka taarifa kwa wazee..
well done gentleman πŸ’
 
nilimchukua na kuweka ndani nafikiri ilikua ni zoezi la miezi kama mitatu nikamuoa humohumo na mimba juu

hii ni bada ya mshezi moja kula mahari yangu akishirikiana na familia yake na kutokomea kusiko julikana, wabara wajinga kabisa
interesting...

but well done πŸ’
 
hivi mambo muhimu ya kujuana ni kama yapi, kwa mfano, huenda mlikua mnasoma pamoja, mnasali pamoja, mnaishi mtaa moja, mnafanya kazi au biashara pamoja n.kπŸ’
Hapa Ni mlengwa Tabia zake anareact vipi kwenye situations, attitudes,life style,,hobbies, finances, healthy,, familia yake anainteract Vipin Na familia yake,ndugu zake wakoje,.... above all and firstly is mahusiano yake Na Mungu yakojeπŸ§‘β€πŸ¦―πŸ§‘β€πŸ¦―πŸ§‘β€πŸ¦―
 
hivi mambo muhimu ya kujuana ni kama yapi, kwa mfano, huenda mlikua mnasoma pamoja, mnasali pamoja, mnaishi mtaa moja, mnafanya kazi au biashara pamoja n.kπŸ’
It depends na uwezo wa kusoma mtu, kingine personality ya mtu utaijua endapo utaspend mda nae. Labda kama wewe kazi yako ni kupiga shoo tu, hapo lazima utapetape maana hujui maana ya familia na mahusiano.
 
Miezi 3,,,now mwaka wa 20 ndoani n life's good
 
Mwaka na nusu, ndoa miaka 18 tupo ktk steji ya 3 yani tumeachana
 
hio miaka kumi haikua rahisi tuneshatukanana sana kublokiana kwa sana temeana shit kwa sana lakini ndie nayezeeka naye
very interesting πŸ€“

I hope mnakaribia kua kama wale ambao hadi inafika mahali au wakati hadi sura, tembea yao, kila mahali wanaambatana ispokua maeneo machache, rangi za mavazi yao, ongea yao zinafanaaa πŸ’

na wengine hadi wakiingia mathalani bar kama ni wanywaji, badala ya kuagiza bia kila moja na yake, inaagizwa moja tu na wanagawana hiyo, ikiisha wanaagiza nyingine tena wanagawana 🀣

yaani confrontations zao za nyuma zimegeuka na kua very beautiful love, hot love watu wanaweza kushangaa but kujifunza kwayo...

well done,
It is a lesson πŸ’
 
Miezi 3,,,now mwaka wa 20 ndoani n life's good
hiyo mwendokasi kabisa...
I hope mlikutana masole mate kabisa ambao mwenzi wako anataka ndoa nawe unataka ndoa na mko tayari kabisa kwa hili with all your hearts 🌹.....

mawazo, malengo, matarajio, uaminifu, hashima, hekima n. k miongoni mwenu viliwaongoza na Mungu akawa katika yenu kabisa na ndio maana mna enjoy maisha ya ndoa mpaka wa sasa....

very interesting...πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…