John Sule
Member
- Feb 24, 2014
- 85
- 97
Uchumba sugu🤣😂😅Kuna uchumba af kuna uchumba sugu! Anyway unaongelea upi Shehe wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumba sugu🤣😂😅Kuna uchumba af kuna uchumba sugu! Anyway unaongelea upi Shehe wetu
hatunywi but watu husema tumeanza kufanana inafikia hatua unaona kabisa huyu ni wangu wa kuzikana nimpende peke yake tukae tudumu tulee watoto wetuvery interesting 🤓
I hope mnakaribia kua kama wale ambao hadi inafika mahali au wakati hadi sura, tembea yao, kila mahali wanaambatana ispokua maeneo machache, rangi za mavazi yao, ongea yao zinafanaaa 🐒
na wengine hadi wakiingia mathalani bar kama ni wanywaji, badala ya kuagiza bia kila moja na yake, inaagizwa moja tu na wanagawana hiyo, ikiisha wanaagiza nyingine tena wanagawana 🤣
yaani confrontations zao za nyuma zimegeuka na kua very beautiful love, hot love watu wanaweza kushangaa but kujifunza kwayo...
well done,
It is a lesson 🐒
😂 ndivyo inavyotakiwaMiaka miwili, na hiyo ilitosha kabisa kujua kuwa nikijaribu kumnunia siku nzima sitoboi,
Samahani kidogo nje ya mada vipi ukijangundua shemeji yetu anapelekewa moto kinyume ma maumbile na alikuficha miaka nane yote?Miaka 8