very interesting π€
I hope mnakaribia kua kama wale ambao hadi inafika mahali au wakati hadi sura, tembea yao, kila mahali wanaambatana ispokua maeneo machache, rangi za mavazi yao, ongea yao zinafanaaa π
na wengine hadi wakiingia mathalani bar kama ni wanywaji, badala ya kuagiza bia kila moja na yake, inaagizwa moja tu na wanagawana hiyo, ikiisha wanaagiza nyingine tena wanagawana π€£
yaani confrontations zao za nyuma zimegeuka na kua very beautiful love, hot love watu wanaweza kushangaa but kujifunza kwayo...
well done,
It is a lesson π