Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Kama mwamba alivyopendekeza,ila Sio Kwa kiwango hicho!at least kateni,save teni.Tutaishije sasa
Kama mwamba alivyopendekeza,ila Sio Kwa kiwango hicho!at least kateni,save teni.Tutaishije sasa
Sawa bibi afyaHauna Afya!
Angalia usije ukaua watoto kwa njaa.Kila 20000 tumia sh 400 tu
Haijakosewa iyo mkuuNgojaa.. tatizo una haraka sana mkuu, kila 20000 au 2000?
Zipo boss wanguzile saloon zako vipi
Wewe ni maskini full stopmimi huwa naingiza laki 3 kwa mwezi lakini natumia laki 7 kwa mwezi. je, mimi ni nani ?
Hapana jitahidi uingize pesa zaidi ya hiyoKwamba hulipi hata pango unakuwa unaishi kwenye kichuguu?
Mimi sihitaji maoni ya mtu. Utaratibu wangu ndio huo fulu stopu.Wewe ni maskini full stop
Ndio kanununi ya uchumi asilimia zingine ziende kwenye categories za investmentsKwanini unadhani ni sahihi kufanya hivyo?
Nakuhakikishia ukiwa mchumi lazima uitwe bahiliTofautisha kati ya UCHUMI na UBAHIRI.
Uchumi sio ubahiri, na ubahiri sio uchumi. Mtu akiwa mbahiri mnamwita mchumi. Ni kosa kubwa sana.
Hapana fuata kanuni itakusaidia sanaHuu ni uhaini
Na vip nisipokufa? Nikizeeka who will take care of me?Panda mali , kufa kwaja ! Utazirundika wee, mara paaah unakufwa...... ulowaachaa ni bata batani, na huyo mke ulomuacha atatafuta kaserengeti boi kake kakumfikisha kilimanjaro, alafu anakalea kwa gharama zako..... mda huo wewe unaliwa na funza
Usipokufa?Nikifa je?? 🥴🥴🥴 Wacha pesa zangu nizipige tu😁😂