Uchumi: Hakikisha kila ukiingiza 20,000 tumia 400 tu

Uchumi: Hakikisha kila ukiingiza 20,000 tumia 400 tu

Hiyo hesabu mbona haingii fresh bro. 20k kwa 0.4k hapo sasa utanunua yai moja. Badn ni yale tu ya kujiuliza kwamba "nisiposave ntakufa?"
 
Hiyo hesabu mbona haingii fresh bro. 20k kwa 0.4k hapo sasa utanunua yai moja. Badn ni yale tu ya kujiuliza kwamba "nisiposave ntakufa?"
Ukiona 400 haikutoshi tengeneza pesa zaid. Usiposave huwezi kufa ila sahau kuhusu utajiri
 
mkuu hapo ni mwendo wa kujichanganya kwenye hosteli za wanafunzi wa Vyuo vikuu
changamoto ni ule muda madogo wamefunga vyuo hapo inabid kulala kwenye night clubs
Kwenye night club baunsa akikuotea, Hilo Kofi utalo pewa hahaaaaa🤣, umenikumbusha maisha ya zamani mkuu anyway tunatoka mbali sana
 
Back
Top Bottom