Uchumi: Hakikisha kila ukiingiza 20,000 tumia 400 tu

Uchumi: Hakikisha kila ukiingiza 20,000 tumia 400 tu

umeishiapo na umebaki na 16600 ila kwangu mimi mtu kunifundisha kutumia pesa zangu hyo n dharau atunze tu yeye mimi ni zangu na hata kama ni kujinyima kimatumizi sio kwa ratio hiyo.
19600, umesevu! 400 unajinyima! Sema mleta mada anamaanisha kuwa kama hiyo pesa haikutoshi uzidishe kipato! Means ukipata kuanzia 200000 ukatumia 2% sio mbaya!
 
Usipokua makini,hiyo hela unayoitafuta sasa hivi na kuibana ndio itakayo tumika kukutibu maradhi yako huko mbeleni,

Tafuta hela ila usisahau kuishi na kuenjoy maisha.
 
ukipiga hesabu tangu asbh umetumia shingapi unatoboa kweli kwenye maswala ya kiuchumi?
Ukiishi kwa mahesabu ya hivyo,basi hata kunywa chai asubuhi utaona ni matumizi mabaya ya fedha,
Na utakufa kwa stress na kuiacha hiyo akiba yako kama urithi kwa wengine.
 
19600, umesevu! 400 unajinyima! Sema mleta madaa anamaanisha kuwa kama hiyo pesa haikutoshi uzidishe kipato! Meana ukipata kuanzia 200000 ukatumia 2% sio mbaya!
kama mda huu faida ya 30k times 3=60k afu huyo mchumi aniambie nitumie 1200tu hapo hata kama ni breakfast bado. Lunch bado. Konyag bado. Vocha bado. Wife bado hawajala. Watoto bado hawajala. Wewe kwa style hii nitolewe matumbo yote niwekewe machuma iwe ni kuchaj tu kwa hyo 400 namaliza hata cku mbili na hiyo chaji. Lakin na nyama zangu na tumbo langu nefaa.
 
Haya matumizi usiwe na familia, usile, usinywe, na usiishi mjini, ishi porini kabisa na uwe na mtu kukurushia hii pesa.
 
Amesema anazo anatufundisha jinsi ya kusev kulingana na kipato!
Hamna hela hapo
Unasevu kwa uwoga Gani wakati una kamradi Kako kanakuingizia japo Tsh 20,000/=
Kwa siku
Au anawatunzia pesa Warithi wa mali zake:
 
Back
Top Bottom