Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Seran uliosoma ule uzi wa kijana wa miaka aliyepigwa na mtoto wake wa kambo mwenye miaka 36 ambaye anaishi na mama yake mzazi mwenye umri wa 55 yrs?Kibarua unacho!
Seran uliosoma ule uzi wa kijana wa miaka aliyepigwa na mtoto wake wa kambo mwenye miaka 36 ambaye anaishi na mama yake mzazi mwenye umri wa 55 yrs?Kibarua unacho!
Ila sio 400 katika 20,000…Sio kusave tu, hatimae kuwekeza ili kufikia financial freedom
Mtoto anajua kudeka yule 😁😁khanji bhai vp ulipata namba za kigori?
Wewe ni Angela Kizigha.mimi huwa naingiza laki 3 kwa mwezi lakini natumia laki 7 kwa mwezi. je, mimi ni nani ?
Nimecheka sana, hata kama huna tumbo ndo 400😁Ndio utumie 400?
Unakua umejenga, unamashamba, mabwawa ya samaki, bustani za mboga na matunda, pia unafuga mbuzi na kuku.Kwamba hulipi hata pango unakuwa unaishi kwenye kichuguu?
Hivi huyo mamaa tangu awe mbunge amewahi kuchangia chochote?Wewe ni Angela Kizigha.
😂
Kama matokeo ya huohuo ubahili? Utafika shati limeisha na upepo mkuuUnakua umejenga, unamashamba, mabwawa ya samaki, bustani za mboga na matunda, pia unafuga mbuzi na kuku.
Sijausoma lakini mimi sijaona tatizo kwenye hii scenario!🤷🏽♀️Seran uliosoma ule uzi wa kijana wa miaka aliyepigwa na mtoto wake wa kambo mwenye miaka 36 ambaye anaishi na mama yake mzazi mwenye umri wa 55 yrs?
Pole sana Kuna ajira mpya humo cheki cheki!Mtoto anajua kudeka yule 😁😁
mpaka leo sja click naye
Ukinipa wewe tamu ye simtaki Tena😤Pole sana Kuna ajira mpya humo cheki cheki!
Una shingapi?Ukinipa wewe tamu ye simtaki Tena😤
hapo wewe kwa shopping hiyo wewe ni madam boss afya mgogoro.Fegi,kipande cha muhogo na maji ya kandoro mkuu
Ndio uchumi ulipoishia tafanyaje? Hakuna cha u madame boss hapo!hapo wewe kwa shopping hiyo wewe ni madam boss afya mgogoro.
umeishiapo na umebaki na 16600 ila kwangu mimi mtu kunifundisha kutumia pesa zangu hyo n dharau atunze tu yeye mimi ni zangu na hata kama ni kujinyima kimatumizi sio kwa ratio hiyo.Ndio uchumi ulipoishia tafanyaje? Hakuna cha u madame boss hapo!