19600, umesevu! 400 unajinyima! Sema mleta mada anamaanisha kuwa kama hiyo pesa haikutoshi uzidishe kipato! Means ukipata kuanzia 200000 ukatumia 2% sio mbaya!umeishiapo na umebaki na 16600 ila kwangu mimi mtu kunifundisha kutumia pesa zangu hyo n dharau atunze tu yeye mimi ni zangu na hata kama ni kujinyima kimatumizi sio kwa ratio hiyo.
Ukiishi kwa mahesabu ya hivyo,basi hata kunywa chai asubuhi utaona ni matumizi mabaya ya fedha,ukipiga hesabu tangu asbh umetumia shingapi unatoboa kweli kwenye maswala ya kiuchumi?
Kuna jobo kibao mkuu!Kumbuka Bia Moja ni Tsh 2500/=
Umeona eeh! Live life at its fullest bro!Ukiishi kwa mahesabu ya hivyo,basi hata kunywa chai asubuhi utaona ni matumizi mabaya ya fedha,
Na utakufa kwa stress na kuiacha hiyo akiba yako kama urithi kwa wengine.
Nitakulipa kutokana na km ulizotembea😋Una shingapi?
Utazipimaje?Nitakulipa kutokana na km ulizotembea😋
🤣🤣 Sinikizamisha kibamia changuUtazipimaje?
Hauko siriaz wewe!🤣🤣 Sinikizamisha kibamia changu
Mi bila Bia, japo tano Safari Lager Sipati Usingizi:Kuna jobo kibao mkuu!
Mchumba km ile pic ni wewe amini nakuoa mm❣️Hauko siriaz wewe!
kama mda huu faida ya 30k times 3=60k afu huyo mchumi aniambie nitumie 1200tu hapo hata kama ni breakfast bado. Lunch bado. Konyag bado. Vocha bado. Wife bado hawajala. Watoto bado hawajala. Wewe kwa style hii nitolewe matumbo yote niwekewe machuma iwe ni kuchaj tu kwa hyo 400 namaliza hata cku mbili na hiyo chaji. Lakin na nyama zangu na tumbo langu nefaa.19600, umesevu! 400 unajinyima! Sema mleta madaa anamaanisha kuwa kama hiyo pesa haikutoshi uzidishe kipato! Meana ukipata kuanzia 200000 ukatumia 2% sio mbaya!
Amesema anazo anatufundisha jinsi ya kusev kulingana na kipato!Mi bila Bia, japo tano Safari Lager Sipati Usingizi:
Mwambie atafute hela afurahie maisha
pic ipi hiyo?Mchumba km ile pic ni wewe amini nakuoa mm❣️
kazi unayo!Hizo boouu znanitesa toka nizione 😋😋 afu msaf
Hamna hela hapoAmesema anazo anatufundisha jinsi ya kusev kulingana na kipato!