JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni
Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 100,000 mwekezaji huyu anamiliki 10% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya kumiliki kampuni.
Stahili za mwenye hisa ni pamoja na kushiriki katika kutoa maamuzi ya kampuni katika mkutano mkuu wa wanahisa na kupata gawio litokanalo na faida.
Mmiliki wa #Hisa ana #Haki pia ya kuuza hisa zake kwa faida pale ambapo kuna ongezeko la thamani ya hisa.
Upvote
3