UCHUMI: Hisa ni nini?

UCHUMI: Hisa ni nini?

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
20210129_113305_0000.png


Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni

Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 100,000 mwekezaji huyu anamiliki 10% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya kumiliki kampuni.

Stahili za mwenye hisa ni pamoja na kushiriki katika kutoa maamuzi ya kampuni katika mkutano mkuu wa wanahisa na kupata gawio litokanalo na faida.

Mmiliki wa #Hisa ana #Haki pia ya kuuza hisa zake kwa faida pale ambapo kuna ongezeko la thamani ya hisa.
 
Upvote 3
Kwa hisa milion 1, mtu akinunua hisa 100,000 atakua anamiliki 1% au 10%, nafikir utakua umepitiwa. Au mimi ndo sijaelewa boss
maendeleo hayana chama.
 
Lakini lazima utambue kuwa katika hisa kuna principle inasema One share one vote kama unashare ndogo pia mkono wako wa kutoa maamuzi ni mdogo mno.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom