Uchumi mataifa makubwa unazidi kuyumba, makampuni mengi yanafunga biashara

Uchumi mataifa makubwa unazidi kuyumba, makampuni mengi yanafunga biashara

Japo mimi sio mchumi nadhani wangelinganisha kwa kutumia GDP per capita badala ya kutumia GDP
 
Jimbo kama la California lingekuwa ni Nchi ingekuwa ni ya 8 ki uchumi kwa sasa, duniani, Uchumi wa Jimbo la Michigan mapaka leo na kesho linalingana na Uchimi wa Taiwan, na jimbo kama la Calfornia linapiga fimbo karibia nchi nyingi sana za Ualya sipo kuwa, Ujeruman, Ufaransa, Italy Uingereza, only nchi nne tu za Ulaya, kwa Africa ni zote

Ni kweli nakumbuka muda mfupi kabla ya vita vya ghuba nilisoma mahali fulani kwamba uchumi wa jimbo la Califonia ulikua mara 3 zaidi ya Iraq ile ya ustawi wa Saddam
 
10-amsterdam-netherland.jpg

Uholanzi barabara ni sharing ya watembea kwa miguu, train na magari jambo ambalo nimeliona katika jiji la Memphis nchini Marekani pia. Bongo tunaweza hii au itakuwa ni kukusanya sanda kila dakika?
 
Wala si utani, maduka ya Marekani yameshehini bidhaa za mchina, oline nako ni bidhaa za mchini, magari ya mjapani hio pia ni kwa dunia nzima. Ulaya na Marekani wanaanza kunyong'onyea.

Lakini kwa hili tatizo la viwanda kuwa vingi china na kupelekea tatizo la uchafuzi wa hali ya hewa (air pollution) hakutaiathiri sana china kiuzalishaji?
 
Wala si utani, maduka ya Marekani yameshehini bidhaa za mchina, oline nako ni bidhaa za mchini, magari ya mjapani hio pia ni kwa dunia nzima. Ulaya na Marekani wanaanza kunyong'onyea.

Bidhaa za Mchina kivipi?

Nina Nike AirMax 2013 hapa na ni 'Made in China'.

Nike siku hizi imekuwa kampuni ya Kichina?

Pia nina HP Envy Utrabook 4 ambayo ni 'Product of China'.

HP ni kampuni ya Kichina?
 
Shopping Malls sasa hivi naambiwa nyingi zimefungwa zimebaki mahame. Products za kutoka mataifa ya nje hasa mataifa ya asia ni cheaper than local products.

Umeambiwa na nani kwamba shopping malls zimefungwa? Usichanganye kati ya shopping malls na individual stores inside the malls.

Marekani imechelewa mno kubadili system mbalimbali kiuchumi na kimaendeleo kwa kukwepa gharama wakati uwezekano ulikuwa mkubwa zaidi, chelewa chelewa leo kubadili system siyo rahisi.

Kwa hiyo? Marekani bado ni economic powerhouse hivyo hiyo chelewa chelewa unayoidai haijaathiri chochote.

Marekani ni taifa pekee duniani ambalo bado linatumia vipimo vya kizamani kama mile, oz, lb, ft, nk. Hawana habari na metric system ambayo dunia nzima inatumia. Mataifa maskini kama ya kiafrika yalishabadilisha mfumo mika zaidi ya 30 au 40 iliyopita.

Hivyo vipimo havijaathiri kabisa maendeleo ya Marekani. Kwanza wapo ambao wanaweza ku-argue kwamba hiyo nayo ni sehemu ya American exceptionalism.

Taifa la Marekani lilijikita zaidi katika uzalishaji wa silaha badala ya mitambo ya uzalishaji. Utakuta mitambo mingi ya uzalishaji ni ya kutoka ulaya. Soko la magari nchini Marekani limetekwa na ya kijapani. Kuna mengi ikiwa ni dailili tosha ya mataifa ya asia kushika kasi huku afrika nayo ikifuta hatua kusonga mbele.

Sawa, Toyota imeipiku GM (ambayo ni kampuni ya Kimarekani) katika mauzo ya magari lakini haijaipiku kwa sana. Mwaka jana Toyota imeuza magari milioni 9.7 wakati GM imeuza magari milioni 9.29.

GM was the top-selling carmaker for more than seven decades before losing the title to Toyota in 2008. But GM retook the sales crown in 2011 when Toyota's factories were slowed by an earthquake and tsunami in Japan. The disaster left Toyota dealers with few cars to sell. The company has since recovered.

Kwa habari zaidi bofya hapa
 
Is anybody watching the Dow?

Unategemeaje Best Buy, Radio Shack, B&N and their likes to continue to flourish in the wake of Amazon and an economy that is increasingly doing business online?

At best the signals are mixed. The markets are at a 5 year high, the suspenseful election is behind, housing is picking up speed in an encouraging way, the predicted credit card debacle did not take place. Even the unemployment scene is not as grave as predicted.

The recession is over. Even as the US economy is not entirely out of the woods, some of the more negative predictions of the last year were overcautious. Of course gloom is more newsworthy than a sober assessment. Especially if you have an ax to grind with the US.

Usichanganye makampuni kufunga biashara kwa sababu ya kushindwa ku strategize (CEO mpya wa JC Penney) au kushindwa kupaya adbantage ya brick and mortar stores kama Best Buy na B&N na weakness ya uchumi wa US.

Makampuni yote uliyotaja hakuna hata moja lisiloweza kuwa replaced na some Amazon transaction.
Well said Kiranga. The DOW is 14,000 the last seen in 5 yrs. All big companies which could shake the world economy beat the expectations. The housing market is at its best for the last 10 or so yrs.

Buy ''made in America'' is picking up, weak company(s) the likes of Zellers are now packing up.
The Chinese Economy has been shrinking for 9 months consecutive etc.
Again the dragging economy in Eurozone has profound effect to US economy.

Whatever the case,the economy is robust and America will determine the global economy not China not Russia.
 
kudadadadeki wabeba boxi usiwasemee USA yao aiseee....hiili thread laenda kasi ati.....

sijakata tamaa bado natafuta viza aisee.....juzi nilipata shori wa kizungu kumbe katokea albania aisee...nimempiga chini..nataka shori wa markani
 
Umeambiwa na nani kwamba shopping malls zimefungwa? Usichanganye kati ya shopping malls na individual stores inside the malls.

Kwa hiyo? Marekani bado ni economic powerhouse hivyo hiyo chelewa chelewa unayoidai haijaathiri chochote.

Hivyo vipimo havijaathiri kabisa maendeleo ya Marekani. Kwanza wapo ambao wanaweza ku-argue kwamba hiyo nayo ni sehemu ya American exceptionalism.

Sawa, Toyota imeipiku GM (ambayo ni kampuni ya Kimarekani) katika mauzo ya magari lakini haijaipiku kwa sana. Mwaka jana Toyota imeuza magari milioni 9.7 wakati GM imeuza magari milioni 9.29.

Kwa habari zaidi bofya hapa

  1. [h=3]The Death of the American Shopping Mall - Jobs & Economy - The ...[/h]www.theatlanticcities.com/jobs-and.../2012/...shopping-mall/4252/
    Dec 26, 2012 – What to expect in the first month if the US goes over the fiscal cliff ...These mall and shopping center stalwarts are closing stores by the thousands ...health of the National Retail Federation's list of the Top 100 retailers in 2012, ...

[h=1]The Death of the American Shopping Mall[/h]
largest.jpg

1606de2.png

1db681b.png

University of Dar es Salaam wana mkataba wa kupeleka mwalimu wa kufundisha kiswahili Fisk University, Nashville, TN, USA kila mwaka. Kuna rafiki yangu pale chuoni kanipasha yafuatayo mwalimu ninayemfahamu Mmarekani mweuzi amenipasha yafuatayo sasa hivi na yuko online:

One Hundred Aok Mall imekufa na Varnderbirt University Hospital imechukua majengo kuwa moja ya kitengo cha uzazi kuiokoa real estate.

Old Hickory Mall katika jiji hilo hilo ambayo ilikuwa kubwa imefungwa na sasa wanakusudia kuokoa majengo hayo wapo mbioni kufungua tawi la Fisk University hapo ili kuiokoa real estate iliyokuwa inamiliki majengo hayo.

Hizo ni shopping malls tu, sasa angalia makampuni yaliyofilisika na kuacha majengo mahame tu.

Tunaongea kwa facts na vielelezo, hatujayachukua vijiweni au kuyazua kichwani tu.
 
Bidhaa za Mchina kivipi?

Nina Nike AirMax 2013 hapa na ni 'Made in China'.

Nike siku hizi imekuwa kampuni ya Kichina?

Pia nina HP Envy Utrabook 4 ambayo ni 'Product of China'.

HP ni kampuni ya Kichina?

Nchi za Ulaya na Marekani uzalishaji wa bidhaa ambazo zinaingia kwa wingi nchi zinatakiwa zifungue viwanda ndani ya nchi husika. Mfano Japan imefungua viwanda vya magari ya kijapan nchini Marekani kama Toyota, Honda, Nissan, etc.
Ieleweke ni product za nchi asili, na unapoingia plant imeandikwa,
"Your entering foreign trade zone"
[h=3]Images for nissan north america smyrna plant/picture[/h]
images
images
images
 
Nchi za Ulaya na Marekani uzalishaji wa bidhaa ambazo zinaingia kwa wingi nchi zinatakiwa zifungue viwanda ndani ya nchi husika. Mfano Japan imefungua viwanda vya magari ya kijapan nchini Marekani kama Toyota, Honda, Nissan, etc.
Ieleweke ni product za nchi asili, na unapoingia plant imeandikwa,
"Your entering foreign trade zone"
Images for nissan north america smyrna plant/picture

images
images
images

Hujajibu kabisa maswali yangu!

Nike ambazo ni 'Made in China' zinatengenezwa na kampuni ya Kichina? Nike ni kampuni ya Kichina?

HP nayo je? Ni kampuni ya Kichina?
 
University of Dar es Salaam wana mkataba wa kupeleka mwalimu wa kufundisha kiswahili Fisk University, Nashville, TN, USA kila mwaka. Kuna rafiki yangu pale chuoni kanipasha yafuatayo mwalimu ninayemfahamu Mmarekani mweuzi amenipasha yafuatayo sasa hivi na yuko online:

One Hundred Aok Mall imekufa na Varnderbirt University Hospital imechukua majengo kuwa moja ya kitengo cha uzazi kuiokoa real estate.

Old Hickory Mall katika jiji hilo hilo ambayo ilikuwa kubwa imefungwa na sasa wanakusudia kuokoa majengo hayo wapo mbioni kufungua tawi la Fisk University hapo ili kuiokoa real estate iliyokuwa inamiliki majengo hayo.

Hizo ni shopping malls tu, sasa angalia makampuni yaliyofilisika na kuacha majengo mahame tu.

Tunaongea kwa facts na vielelezo, hatujayachukua vijiweni au kuyazua kichwani tu.

Well, hata mimi ninaishi Marekani kwa miaka mingi tu! If you should know, nipo huku tokea December1994.

Na tokea nije hayo mambo ya kufungwa baadhi ya stores na kadhalika ni mambo ya kawaida kabisa na si nongwa kama ambavyo unayafanya yawe.

Mengine yanafungwa mengine yanafunguliwa. That's just the nature of the beast.

Na ni Marekani tu ambako malls au stores hufungwa kwa ajili ya poor perfomance?

Na ni Marekani tu ambako makampuni hufilisika na kuacha majengo mahame tu?

FYI, Marekani ndiyo super power pekee hapa duniani na itaendelea kuwa hivyo kwa vizazi na vizazi vijavyo.

USA for life:usa2:.
 
siku ukisikia marekani imekufa ujue vinchi kama tanzania mtakuwa mmeshazikwa....kufungwamalls ni litu cha kawaida sana sio sababu useme uchumi umeshuka bla bla bla.....
 
Well, hata mimi ninaishi Marekani kwa miaka mingi tu! If you should know, nipo huku tokea December1994.

Na tokea nije hayo mambo ya kufungwa baadhi ya stores na kadhalika ni mambo ya kawaida kabisa na si nongwa kama ambavyo unayafanya yawe.

Mengine yanafungwa mengine yanafunguliwa. That's just the nature of the beast.

Na ni Marekani tu ambako malls au stores hufungwa kwa ajili ya poor perfomance?

Na ni Marekani tu ambako makampuni hufilisika na kuacha majengo mahame tu?

FYI, Marekani ndiyo super power pekee hapa duniani na itaendelea kuwa hivyo kwa vizazi na vizazi vijavyo.

USA for life:usa2:.

Pole sana, habari za huko? Huwa naingia mara kwa mara katika shughuli zangu, nilishaondoka kitambo, sikuwa mbali sana na maeneo ya Passaic County, tulikuwa tunakaribishwa wanachuo kule kijiji cha michezo wanachuo kujaza uwanja mechi za soccer kwa vile marekani si mashabiki wa michezo hiyo, bada hada siku hizi wanafanya hivyo? Labda unaweza kunipa habari nyingi zaidi. Rafiki zangu na utundu wangu wa kuuanalia na kuusoma ulimwengu unavyoenda unanipa picha ya kianchoendelea. Mimi siangali viatu Nickle tu, naangalia hali halisi ya uchumi kwa ujumla ndio picha ninayoizungumzia.
 
Mkumbuke kampuni zikifa kuna zinazozaliwa.
Fanyeni mtakavyofanya.
Semeni mtakavyosema.
Mpende ama mchukie....USA has been and will always be winning the so called "cultural war".
That said, ndio maana dunia nzima mnaangaalia na mnagombea na mnafuatilia Holywood movies, NBA, Hip Hop, CNN, FOX, Internet, na mnafuatilia kila kinachoendelea USa kuanzia fashion, perfumes, colognes, etc....and above all, kila watu wenye utajiri from all over the world hadi hao wachina, wabrazil, na waarabu pesa zao wanainvest USA, watoto wao wanasomeshwa USA. Wakiumwa wanakuja kutibiwa USA. Hata China ama Brazil na kelele zao hawawezi kufikia infuence hiyo.
Thanks
 
Pole ya nini sasa?
 
Nuff said!
 
In most cases technology is a game changer. For example; Redbox and streaming movies (Vulu, Netflix, etc) and smart TV technology have killed Blockbuster.
Amazon.com has killed Circuit City and now BestBuy.
Orbitz killed travel agencies. iPad, Kindle and other ebook providers have killed Borders and now Barnes &Noble. Carmax and AutoTrader have made a lot of car dealerships in America to go under.
 
IDT and advanced security alarm technology made watchmen/korokoroni to become jobless!..🙂
Digital cameras killed giants like Kodak and Qualex.
Drones have made some defense contractors all over the country to go under while at the same time some new companies have emerged as a result.
Facebook has overshadowed Hi-5 and Myspace.com
GoToMeeting (Citrix) has caused serious financial implications in corporate travel business.
Overstock.com is giving hard time the likes of JC Penny.
SAP, ORACLE, MAXIMO are causing headaches and sleepless nights to the CEO of the likes of PeopleSoft, JD Edwards. .Net etc
The list goes on and on. Again, technology is a game changer
 
Back
Top Bottom