Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jimbo kama la California lingekuwa ni Nchi ingekuwa ni ya 8 ki uchumi kwa sasa, duniani, Uchumi wa Jimbo la Michigan mapaka leo na kesho linalingana na Uchimi wa Taiwan, na jimbo kama la Calfornia linapiga fimbo karibia nchi nyingi sana za Ualya sipo kuwa, Ujeruman, Ufaransa, Italy Uingereza, only nchi nne tu za Ulaya, kwa Africa ni zote
Wala si utani, maduka ya Marekani yameshehini bidhaa za mchina, oline nako ni bidhaa za mchini, magari ya mjapani hio pia ni kwa dunia nzima. Ulaya na Marekani wanaanza kunyong'onyea.
Wala si utani, maduka ya Marekani yameshehini bidhaa za mchina, oline nako ni bidhaa za mchini, magari ya mjapani hio pia ni kwa dunia nzima. Ulaya na Marekani wanaanza kunyong'onyea.
Shopping Malls sasa hivi naambiwa nyingi zimefungwa zimebaki mahame. Products za kutoka mataifa ya nje hasa mataifa ya asia ni cheaper than local products.
Marekani imechelewa mno kubadili system mbalimbali kiuchumi na kimaendeleo kwa kukwepa gharama wakati uwezekano ulikuwa mkubwa zaidi, chelewa chelewa leo kubadili system siyo rahisi.
Marekani ni taifa pekee duniani ambalo bado linatumia vipimo vya kizamani kama mile, oz, lb, ft, nk. Hawana habari na metric system ambayo dunia nzima inatumia. Mataifa maskini kama ya kiafrika yalishabadilisha mfumo mika zaidi ya 30 au 40 iliyopita.
Taifa la Marekani lilijikita zaidi katika uzalishaji wa silaha badala ya mitambo ya uzalishaji. Utakuta mitambo mingi ya uzalishaji ni ya kutoka ulaya. Soko la magari nchini Marekani limetekwa na ya kijapani. Kuna mengi ikiwa ni dailili tosha ya mataifa ya asia kushika kasi huku afrika nayo ikifuta hatua kusonga mbele.
GM was the top-selling carmaker for more than seven decades before losing the title to Toyota in 2008. But GM retook the sales crown in 2011 when Toyota's factories were slowed by an earthquake and tsunami in Japan. The disaster left Toyota dealers with few cars to sell. The company has since recovered.
Well said Kiranga. The DOW is 14,000 the last seen in 5 yrs. All big companies which could shake the world economy beat the expectations. The housing market is at its best for the last 10 or so yrs.Is anybody watching the Dow?
Unategemeaje Best Buy, Radio Shack, B&N and their likes to continue to flourish in the wake of Amazon and an economy that is increasingly doing business online?
At best the signals are mixed. The markets are at a 5 year high, the suspenseful election is behind, housing is picking up speed in an encouraging way, the predicted credit card debacle did not take place. Even the unemployment scene is not as grave as predicted.
The recession is over. Even as the US economy is not entirely out of the woods, some of the more negative predictions of the last year were overcautious. Of course gloom is more newsworthy than a sober assessment. Especially if you have an ax to grind with the US.
Usichanganye makampuni kufunga biashara kwa sababu ya kushindwa ku strategize (CEO mpya wa JC Penney) au kushindwa kupaya adbantage ya brick and mortar stores kama Best Buy na B&N na weakness ya uchumi wa US.
Makampuni yote uliyotaja hakuna hata moja lisiloweza kuwa replaced na some Amazon transaction.
Umeambiwa na nani kwamba shopping malls zimefungwa? Usichanganye kati ya shopping malls na individual stores inside the malls.
Kwa hiyo? Marekani bado ni economic powerhouse hivyo hiyo chelewa chelewa unayoidai haijaathiri chochote.
Hivyo vipimo havijaathiri kabisa maendeleo ya Marekani. Kwanza wapo ambao wanaweza ku-argue kwamba hiyo nayo ni sehemu ya American exceptionalism.
Sawa, Toyota imeipiku GM (ambayo ni kampuni ya Kimarekani) katika mauzo ya magari lakini haijaipiku kwa sana. Mwaka jana Toyota imeuza magari milioni 9.7 wakati GM imeuza magari milioni 9.29.
Kwa habari zaidi bofya hapa
Bidhaa za Mchina kivipi?
Nina Nike AirMax 2013 hapa na ni 'Made in China'.
Nike siku hizi imekuwa kampuni ya Kichina?
Pia nina HP Envy Utrabook 4 ambayo ni 'Product of China'.
HP ni kampuni ya Kichina?
Nchi za Ulaya na Marekani uzalishaji wa bidhaa ambazo zinaingia kwa wingi nchi zinatakiwa zifungue viwanda ndani ya nchi husika. Mfano Japan imefungua viwanda vya magari ya kijapan nchini Marekani kama Toyota, Honda, Nissan, etc.
Ieleweke ni product za nchi asili, na unapoingia plant imeandikwa, "Your entering foreign trade zone"
Images for nissan north america smyrna plant/picture
![]()
![]()
![]()
University of Dar es Salaam wana mkataba wa kupeleka mwalimu wa kufundisha kiswahili Fisk University, Nashville, TN, USA kila mwaka. Kuna rafiki yangu pale chuoni kanipasha yafuatayo mwalimu ninayemfahamu Mmarekani mweuzi amenipasha yafuatayo sasa hivi na yuko online:
One Hundred Aok Mall imekufa na Varnderbirt University Hospital imechukua majengo kuwa moja ya kitengo cha uzazi kuiokoa real estate.
Old Hickory Mall katika jiji hilo hilo ambayo ilikuwa kubwa imefungwa na sasa wanakusudia kuokoa majengo hayo wapo mbioni kufungua tawi la Fisk University hapo ili kuiokoa real estate iliyokuwa inamiliki majengo hayo.
Hizo ni shopping malls tu, sasa angalia makampuni yaliyofilisika na kuacha majengo mahame tu.
Tunaongea kwa facts na vielelezo, hatujayachukua vijiweni au kuyazua kichwani tu.
Well, hata mimi ninaishi Marekani kwa miaka mingi tu! If you should know, nipo huku tokea December1994.
Na tokea nije hayo mambo ya kufungwa baadhi ya stores na kadhalika ni mambo ya kawaida kabisa na si nongwa kama ambavyo unayafanya yawe.
Mengine yanafungwa mengine yanafunguliwa. That's just the nature of the beast.
Na ni Marekani tu ambako malls au stores hufungwa kwa ajili ya poor perfomance?
Na ni Marekani tu ambako makampuni hufilisika na kuacha majengo mahame tu?
FYI, Marekani ndiyo super power pekee hapa duniani na itaendelea kuwa hivyo kwa vizazi na vizazi vijavyo.
USA for life:usa2:.
Pole sana, habari za huko? Huwa naingia mara kwa mara katika shughuli zangu, nilishaondoka kitambo, sikuwa mbali sana na maeneo ya Passaic County, tulikuwa tunakaribishwa wanachuo kule kijiji cha michezo wanachuo kujaza uwanja mechi za soccer kwa vile marekani si mashabiki wa michezo hiyo, bada hada siku hizi wanafanya hivyo? Labda unaweza kunipa habari nyingi zaidi. Rafiki zangu na utundu wangu wa kuuanalia na kuusoma ulimwengu unavyoenda unanipa picha ya kianchoendelea. Mimi siangali viatu Nickle tu, naangalia hali halisi ya uchumi kwa ujumla ndio picha ninayoizungumzia.
Mkumbuke kampuni zikifa kuna zinazozaliwa.
Fanyeni mtakavyofanya.
Semeni mtakavyosema.
Mpende ama mchukie....USA has been and will always be winning the so called "cultural war".
That said, ndio maana dunia nzima mnaangaalia na mnagombea na mnafuatilia Holywood movies, NBA, Hip Hop, CNN, FOX, Internet, na mnafuatilia kila kinachoendelea USa kuanzia fashion, perfumes, colognes, etc....and above all, kila watu wenye utajiri from all over the world hadi hao wachina, wabrazil, na waarabu pesa zao wanainvest USA, watoto wao wanasomeshwa USA. Wakiumwa wanakuja kutibiwa USA. Hata China ama Brazil na kelele zao hawawezi kufikia infuence hiyo.
Thanks