Uchumi na vijana wa sasa

Aidarus Ally

Member
Joined
Aug 18, 2022
Posts
8
Reaction score
7
Kwa sasa watu wengi ambao walishakuwa katika hali nzuri ya kiuchumi wanawataka vijana waweze kujiajiri, kiukweli ni sahihi kulingana na hali ilivyo lakini tatizo kubwa linalowakabili vijana ni mitaji na ubunifu sahihi wa biashara katika mazingira husika.
 
Hata mtaji inaweza isiwe tatizo sana tatizo ni sera za nchi yetu ni kikwazo kikubwa sana..

Hii serikali kusema tukajiajiri wanamaanusha tuwe wamachinga na si vinginevyoo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…