Aidarus Ally
Member
- Aug 18, 2022
- 8
- 7
Kwa sasa watu wengi ambao walishakuwa katika hali nzuri ya kiuchumi wanawataka vijana waweze kujiajiri, kiukweli ni sahihi kulingana na hali ilivyo lakini tatizo kubwa linalowakabili vijana ni mitaji na ubunifu sahihi wa biashara katika mazingira husika.