Uchumi: Nchi zilizobaki za EA kufikia uchumi wa kati baada ya miaka 20 ijayo

How ,na since maguguli aingie mumeongeza only $180 Kwa per capita?
Meaning within 10yrs term ni roughly 400$
 
How ,na since maguguli aingie mumeongeza only $180 Kwa per capita?
Meaning within 10yrs term ni roughly 400$
ndio ushangae sasa,wakati hayo yamefanyika hakuna mfanyakazi aliyeongezewa mshahara wala aliyepanda daraja.

yakifanyika hayo unadhani maisha ya mtz wa kwaida yanakuwaje,na data zitabadilika kwa kiwango gani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo misaada tunayopokea ni misaada ya maendeleo, sio Chakula, kumbuka mahitaji ya kibinadamu Chakula ni namba moja, hata kuku lazima apate Chakula, viti ninyi mnashindwa na wanyama wa porini wanajitafutia Chakula chao hawategemei msaada wa Chakula?
 
Rwanda haiwezi chukua muda mrefu nawapa miaka tatu,uganda 4, maximum kina Burundi na south Sudan ni shithole inaeza kua ata miaka 30
Ili Rwanda wafiki per capita ya $1.039 inawalazimu waongeze $6B katika uchumi wao ili wafikie GDP ya $14B, sasa hivi Rwanda kwa mwaka wanaingiza $800M, hii ikiendelea hivi itawachukua miaka 7 kama population haitoongezeka, ukuaji wa uchumi hautopungua, wala inflation haitobadilika.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Burundi ndio wana per capital ya $309 hawa jamaa sipati picha mwananchi wa kawaida kule anaishi vp
Out of touch with the outside world, wale wako in the 70s.
 
It is not about the population but what the population can do.
 
ndio ushangae sasa,wakati hayo yamefanyika hakuna mfanyakazi aliyeongezewa mshahara wala aliyepanda daraja.

yakifanyika hayo unadhani maisha ya mtz wa kwaida yanakuwaje,na data zitabadilika kwa kiwango gani[emoji23][emoji23][emoji23]
Utaongoza aje wananchi bila salary increment?
Na Hali ya Maisha inapanda?
So walimu TZ mshahara wao wa 2015 na 2020 ni same!!!
 
Yule 254 anajifanya mwana uchumi halioni hili
 
Utaongoza aje wananchi bila salary increment?
Na Hali ya Maisha inapanda?
So walimu TZ mshahara wao wa 2015 na 2020 ni same!!!
Unaongea nini wewe wakati nchi yenu umeshindwa kuwalipa walimu mishahara mpaka ikasingizia Corona kufunga shule mpaka mwakani?

Serikali ya Kenya imefilisika broke and failed state indeed
 
Unaweza kunipa percentage angalau ya ujumla tu inayoonesha Tanzania ikisaidiwa au ikiomba msaada wa kibajeti kutoka hizo nchi ulizotaja?

Mimi nakupa ushahidi namna serikali yako inavyoomba msaada wa bajeti na msaada wa chakula


 
Utaongoza aje wananchi bila salary increment?
Na Hali ya Maisha inapanda?
So walimu TZ mshahara wao wa 2015 na 2020 ni same!!!
Inflation ndio kipimo cha kupanda kwa maisha, Tanzania inflation imekua ikishuka mwaka hadi mwaka, tueleze nauli za mabus kwa Mara ya mwisho zilipanda lini?, sasa kama bei za bidhaa hazipandi, unatumia vigezo vipi vya kupandisha mishahara?
 
Wew endelea kuimba ngonjera ndio utajua manake....
 
Tanzania tunajiskia vibaya sana kuwa pekeyetu hivi...kazeni buti nyie kina tukinao.....very lonely[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Mshahara ukatoka Sweden? Do you have any idea about this nonesense?
Your gdp is $99B ,n btw Tz is pushing so hard so don't you guys relax
Sio kutoka Sweden tu pia Demark, Ireland, Netherlands n.k, kuna hadi coalition ya mabwana zenu, nchi za mabeberu ambazo huwa zinawafadhili kwenye sekta nyeti za elimu na afya kila mwaka. Tangia mwaka wa 1970 wamekuwa wakifadhili bajeji ya dona kantri kwa 43%. Sekta yenu ya elimu wanaifadhili kwa 84%, unaelewa salary subsidies inamaanisha nini? Hao mabeberu ndio huwa wanalipa kiasi kikubwa cha mishahara ya walimu, manesi na madaktari wenu. 4.5.1 Donor support to education Kwa taarifa yako hiyo GDP ya Kenya $99.264B ni takwimu za 2019. Q1 ya 2020 uchumi wa Kenya umekua kwa 4.9%, fanya mahesabu. Mwaka wa 2019, 6.3% avarage ya miaka mitano 5.6%.
 
Kwenye computer sawa
Hii niyakitambo mnoo...alafu ww kwa akili yako ya kufikiria kupitia miguu..kwaiyo izo nchi apo nimaskini kuliko malawi,burundi,south sudan....soma n iyo GDP per capital....pimbi ww
 
Education support ni sehemu ya maendeleo, ila food support hiyo ni aibu kubwa Sana. Nyumbani kwako unaweza kushindwa kulipia "School fees" na watoto wakakuekewa, hawawezi kukuelewa ukishindwa kuwapa chakuka. Mkeo lazima atakukimbia ukishindwa kumpa Chakula. Yaani Chakula ndio kitu cha mwisho katika maisha, kila kiumbe lazima kijitosheleze kwa Chakula, mnatia aibu sana.
 
Nadhani Rwanda watatoka Ldc mapema zaidi kabla ya miaka ishirini kufika tukizingatia GNI per capita yao ya hivi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…