Nimesema kwamba Kenya uchumi wake haina strong base kama ulivyo uchumi wa Tanzania, ili uchumi uwe imara lazima uwe na "very strong base which is not likely and easily disturbed".
Diversification haina maana sana kama hakuna St ability. Kilimo ni eneo zuri sana kuweza kuwa na uchumi imara, kwasababu bidhaa za kilimo bei na demand yake vipo stable sana, kwa mfano chai, kahawa, Cocoa, Pamba, nyama, Samaki, hii ni kutokana na ukweli kwamba, uzalushaji wa bidhaa hizi ni mdogo ukilinganisha na mahitaji yake.
Bidhaa zingine ambazo hazijawahi kukidhi mahitaji ya soko la dunia ni Madini ya aina mbalimbali kama Diamond, Gold, Titanium na mengine kadhaa, nchi zenye madini, uchumi wake una strong base, kwasababu kamwe soko la madini haliyumbi na hakuna compitition .
Uchumi unaotegemea gas; gas ni very strong base of economy kwasababu ni nchi chache zenye kuzalisha gas na haitoshelezi mahitaji ya dunia, na haina competition kama yalivyo mafuta.
Hizo sector ukizozata za Kenya kama IT, Financial, Construction, transportation and tourism, are very competitive and very unstable. Nchi zenye kutegemea hizi sectors uchumi wao sio stable, wakati wowote unaweza kuporomoka. Mfano ni kama kipindi hiki cha Corona, nchi zinazotegemea utalii, service industry, IT zitaumia zaidi kuliko zinazotegemea KILIMO.