Uchumi unaimarika bei ya mchele yashuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo!

Unamaanisha uchumi au mfumuko wa bei? Unasemaje kuhusu mafuta ya kula ambayo sasa hivi lita 20 inauzwa kati ya sh. 64,000 hadi 70,000/=, kutoka 50,000/=?! Bei ya bidhaa moja ndiyo imeimarisha uchumi?
 
Mamamayo,, Shinyanga kwenyewe kwa wakulima maarufu wa mpunga tunauza 1700 -1800/= sasa wewe makalio utasemaje 1,300? Harafu usituambie eti uchumi umepaa wakati wakulima hatuna pa kuuzia mpunga wetu!!
 
Umeshuka kidogo coz supply imeongezeka maana huu ni msimu wa mavuno na mwaka huu mavuno hasa mpunga yameongezeka,hata mafuta huku Sumbawanga bei hazikupanda kama huko keingine
 
Naomba kuuliza mtoa takwimu ameconsider mkoa upi au yeye mwenyew anapatikana mkoa gan
 
Wewe mbwiga unabishana na maafisa masoko waliopo site?...kalagabaho!
 
Nimewanukuu maafisa masoko kwa mujibu wa Eatv!
Kuna factors nyingi sana za ku consider kabla ya kusema uchumi umeimarika, mwezi ujao ni kipindi cha ramadan mchele ukipanda utasema tena uchumi umeshuka au.
 
Mamamayo,, Shinyanga kwenyewe kwa wakulima maarufu wa mpunga tunauza 1700 -1800/= sasa wewe makalio utasemaje 1,300? Harafu usituambie eti uchumi umepaa wakati wakulima hatuna pa kuuzia mpunga wetu!!
Kwahiyo unawatukana maafisa masoko?
 
Ndio kazi ya serikali ya awamu ya tano,pesa ipate thamani.
Hongera serikali kwa kudhibiti mfumuko wa bei
 
Akapimwe akili....
 
Usihangaike ndugu, huyo ni miongoni mwa wale vijana ambao kula yao na kulala ni jukumu la wazazi wao!
 
Ndio kazi ya serikali ya awamu ya tano,pesa ipate thamani.
Hongera serikali kwa kudhibiti mfumuko wa bei
Mkapimwe akili kwa kukubadili kila kinachosemwa... Na kwa bahati mbaya wengine mmenunua mchele leo kwa bei ya juu halafu mnakuja kupongeza UONGO wa wazi...
 
Wewe kula kulala huelewi lolote kuhusu maisha kaa kimya pimbi wewe. Hujui bei ya mchele wala ya sukari wala mafuta.

Bei imepunguwà soko la Tandale kwa stock mpya waliyoipokea na si madukani.

Hata vitu kama nyanya, vitunguu,choho, karoti na vinginevyo soko la stereo Temeke ndio vinapitakana kwa bei nafuu, kwakuwa wewe ni kula kulala na kodi ya nyumba shikamoo basi unakuja tu kuropoka hapa.

Hapo unapoishi kwa shemeji nenda dukani sasa hivi kaulize bei ya mchele halafu njoo hapa utowe ushuhuda.

Na isitoshe sisi wengine tunanunuwa mchele super tu wa Mbeya kilo sh 2600/=.

Sasa wewe kula kulala kesho nenda soko la Tandale kaangalie mchele walioshusha bei kama siyo wa Morogoro.

Mnajipendekeza hadi mnatia aibu wakati ndugu zenu vijijini wanashindia mlo mmoja stupid.
 
Pumbafff sana wewee..
Hujui lolote kwenye haya masuala ya bei za vyakula..
Wewe subiri jpm akiwa sehemu anazindua stendi sijui vyoo ujulishe watu kwamba yupo live kwenye ile television yenu marehemu.
Wewe ni ku..... kabisa mwaka huu mchele utafika chini ya TZS 1,000.00 wakulima hasa kanda ya ziwa wamelima sana na kupata mpunga mwingi sana na hizo data ni average ya TZ nzima endelea kubisha kwa kuwa ulizoea kufisadi nchi sasa umebanwa ile mbaya... mpaka utakufa kwa kukosa pesa ya kununua chakula.... fanyakazi acha kukaa kwenye keyboard muda wote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…