Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Unamaanisha uchumi au mfumuko wa bei? Unasemaje kuhusu mafuta ya kula ambayo sasa hivi lita 20 inauzwa kati ya sh. 64,000 hadi 70,000/=, kutoka 50,000/=?! Bei ya bidhaa moja ndiyo imeimarisha uchumi?Imeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!