Uchumi unaimarika bei ya mchele yashuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo!

Njoo vijiji vya kata ya Mwamala wilaya ya Nzega mkoani Tabora gunia ni 36,000 mwisho 45,000 na bado wanavuna hapo.

Duru zinadai kilo itafika hata 800 huko lakini hii wala siyo ishara ya uchumi kuimarika,Kuna watu wataumia.
Kweli bro kuna watu wataumia tena sana tu, kwani mbaazi ilipofikia sh 150 kwa kilo moja, ni uchumi ulikuwa umeimarika au nini?
 
Acha kupotosha,hiyo ni bei ya huku swekeni Segese tena kipindi hiki cha mavuno,mchele huu unapofika mjini mfano Dodoma jumla wanauza kuanzia Tshs 1800 kwa kilo jumla,reja reja mpaka 2100 per kg.

Mimi niko location nachoongea nina empirical evidence,wewe tuambie hiyo bei ni ya wapi tukuelewe.Acheni generalisation za mitaani.
 
Kushuka kwa bei ya vitu haimaanishi kuwa uchumi umeimarika.Ina maanisha mahitaji yako chini ilhali bidhaa husika imefurika masoko.Wanauchumi wana sema "demand is low and supply is high". Ni hali ya kawaida kwa mazao ya kilimo kupanda na kushuka bei.
Kumbuka kwamba,bei hizi zikishuka mkulima anaumia.Sasa mkulima akiumizwa uchumi umeimarika?
 
Watu hamjamuelewa huyu,kaongea kinyume manaake ni kutoka 1300/= na sasa ni 2600/= au 2700'=
 
Cc: maafisa masoko!
 
Akili za matope hizi za wachumia tumbo wa Tanzania , éti uchumi umeimarika kwa kushuka bei ya kilo ya Mchele .........what kind of retarded bullshit is this ??........... Economy is far deeper than the way you think ............This country's economy is fucked up and no body from the rulling regime will ever confess this
 
rubish
 
 
Nchi gani unaongelea mkuu? Alafu acha kuandika upuuzi kabla hujafanya hata karisechi kadogo!!
 

Kuna watu mna akili maji taka kweli kweli... Haya mama!
 
Kweli neno uchumi limetumika vibaya kwenye mjadala huu! Sasa sijui isemeke tu neema imepanda kwa walaji? Maana kwa wakati huohuo mkulima anaumia kimtindo mpaka hapo soko litakapokaukiwa mchele....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…