johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #61
Cc: maafisa masoko!Thibitisha hoja yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc: maafisa masoko!Thibitisha hoja yako
Cc: maafisa masokoKipindi unapanda hadi iyo 2600 hukuwai kuja na post humu ukisema uchumi waporomoka.
Kweli bro kuna watu wataumia tena sana tu, kwani mbaazi ilipofikia sh 150 kwa kilo moja, ni uchumi ulikuwa umeimarika au nini?Njoo vijiji vya kata ya Mwamala wilaya ya Nzega mkoani Tabora gunia ni 36,000 mwisho 45,000 na bado wanavuna hapo.
Duru zinadai kilo itafika hata 800 huko lakini hii wala siyo ishara ya uchumi kuimarika,Kuna watu wataumia.
Kushuka kwa bei ya vitu haimaanishi kuwa uchumi umeimarika.Ina maanisha mahitaji yako chini ilhali bidhaa husika imefurika masoko.Wanauchumi wana sema "demand is low and supply is high". Ni hali ya kawaida kwa mazao ya kilimo kupanda na kushuka bei.Imeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
Cc: maafisa masoko!Kushuka kwa bei ya vitu haimaanishi kuwa uchumi umeimarika.Ina maanisha mahitaji yako chini ilhali bidhaa husika imefurika masoko.Wanauchumi wana sema "demand is low and supply is high". Ni hali ya kawaida kwa mazao ya kilimo kupanda na kushuka bei.
Kumbuka kwamba,bei hizi zikishuka mkulima anaumia.Sasa mkulima akiumizwa uchumi umeimarika?
rubishImeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
Akili za matope hizi za wachumia tumbo wa Tanzania , éti uchumi umeimarika kwa kushuka bei ya kilo ya Mchele .........what kind of retarded bullshit is this ??........... Economy is far deeper than the way you think ............This country's economy is fucked up and no body from the rulling regime will ever confess this.......Vilaza wa Lumumba kama nyie ni laana kwa hili Taifa ...........Nchi isiyo na biashara za export hata toothpicks, Nchi inayoua viwanda na uwekezaji ,Dangote mwenyewe yuko mbioni kufungasha vilago , Nchi isiyowajali wakulima zaidi ya propaganda za majukwaani ni Nchi mufilisi
Nchi gani unaongelea mkuu? Alafu acha kuandika upuuzi kabla hujafanya hata karisechi kadogo!!Imeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
Imeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
Akapimwe akili....
Cc: maafisa masokorubish
Kweli neno uchumi limetumika vibaya kwenye mjadala huu! Sasa sijui isemeke tu neema imepanda kwa walaji? Maana kwa wakati huohuo mkulima anaumia kimtindo mpaka hapo soko litakapokaukiwa mchele....Akili za matope hizi za wachumia tumbo wa Tanzania , éti uchumi umeimarika kwa kushuka bei ya kilo ya Mchele .........what kind of retarded bullshit is this ??........... Economy is far deeper than the way you think ............This country's economy is fucked up and no body from the rulling regime will ever confess this
Karesearch ka nini zaidi ya kununua mchele Tandale!Nchi gani unaongelea mkuu? Alafu acha kuandika upuuzi kabla hujafanya hata karisechi kadogo!!
Soko huriaKweli neno uchumi limetumika vibaya kwenye mjadala huu! Sasa sijui isemeke tu neema imepanda kwa walaji? Maana kwa wakati huohuo mkulima anaumia kimtindo mpaka hapo soko litakapokaukiwa mchele....
Jitahidi kuficha UPUMBAFU wako, sawa?Karesearch ka nini zaidi ya kununua mchele Tandale!