Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
- Thread starter
- #41
Natamani bia ya baridi weekend...uchumi wa mafuta na gas tunaukaliaje kwa mfano?
Na bia hiyo iwe ya chupa ya mwanamke nyonga, kunywa tani yako bili kwangu.
Uchumi wa mafuta na gesi mkiacha kuukalia ni kuukamua tuu, kisha mnaramba wese mkitoka hapo mnameremeta eehehehehheee.
Matata K.