Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
- Thread starter
- #21
Kwa upande wa uchumi wa taifa, Tanzania tunapaa, midege angani, mabarabara ya juu kwa juu, SGR, Stigler Gorge, Tanzania ya Viwanda tukielekea kuwa nchi ya uchumi wa kati, uchumi wa gesi na Tanzania kugeuka a donor country.
Kwa upande wa ule uchumi ule wa Dada zetu wale wanaokalia, mimi nimewapigania sana ile biashara yao irasimishwe, ihalalishwe, iwekewe utaratibu, itengewe maeneo rasmi, watu wafanye kazi walipe kodi. Jijini Dar Massage zimetapakaa watu wanakuwa Massaged asubuhi, mchana, jioni na usiku kucha, lakini serikali hazipati chochote.
Opinion: It's high time Tanzania tuhalalishe "The Oldest Profession" na Ikiwezekana tu-legalize Marijuana
Wanabodi, Japo hii hoja itaonekana ni ya ajabu, lakini amini usiamini, inakuza sana utalii!, maana watalii wanataka kuenjoy, moja ya sterehe kubwa duniani, ni starehe hii. Nimeangalia matokeo ya Sensa, Idadi ya Watu Tanzania Wanaume -Milioni 21 Wanawake-Milioni 23 Jumla ni Watu Milioni 44...www.jamiiforums.com
P
Sawa kabisa Pascal,kwa sasa hivi mambo yanayoendelea nchini hata mtoto mdogo anafahamu vile tunauchakata uchumi wetu, je, tunaweza kutabiri kuwa baadae ya muda gani matokeo ya kuchakata uchumi yataleta tija kwa wananchi hadi filed wa chini na kumfanya apate mahitaji yake muhimu (chakula,malazi na makazi?).
Pongezi nyingi sana kwa mkuu wa nchi kuhamasisha uchakataji hasa kwa upande wa miradi hii mikubwa, je shughuli hizi zinamfikia raia hadi wa chini? Simaanishi ajar bure na aletewe mahitaji muhimu na serikali laa hasha,namaanisha mjasiriamali anayejishighulisha kufanya shughuli ndogondogo kujikwamua kiuchumi, anasonga au anakandamizwa na uchumi wa nchi husika?