bara la wendawazimu hiliAlietuloga kwa kweli hana huruma. South Africa, Nigeria Egypt wote wamezidiwa na Bangladesh
Afrika tuna matatizo gani. Nchi 54 wote tumefeli. Hata hizo za kaskazini (Arab countries) wamefeli. Uchumi wa Morocco, Egypt, Algeria, Tunisia, Libya hauendani na uhalisia. Wote tumefeli vibaya mno.
Hakuna nchi yenye matumaini Africa. Nchi za Asia nyingi Zika juu Sana. Nyingi zitakuwa developed countries miaka michache ijayo
Je, ni kweli tunaibiwa rasilimali au tumefeli tu. Tatizo nini?
angalia population iyoAlietuloga kwa kweli hana huruma. South Africa, Nigeria Egypt wote wamezidiwa na Bangladesh
Afrika tuna matatizo gani. Nchi 54 wote tumefeli. Hata hizo za kaskazini (Arab countries) wamefeli. Uchumi wa Morocco, Egypt, Algeria, Tunisia, Libya hauendani na uhalisia. Wote tumefeli vibaya mno.
Hakuna nchi yenye matumaini Africa. Nchi za Asia nyingi Zika juu Sana. Nyingi zitakuwa developed countries miaka michache ijayo
Je, ni kweli tunaibiwa rasilimali au tumefeli tu. Tatizo nini?
Mnatoa wapi matango pori machungu namna hiiAlietuloga kwa kweli hana huruma. South Africa, Nigeria Egypt wote wamezidiwa na Bangladesh
Afrika tuna matatizo gani. Nchi 54 wote tumefeli. Hata hizo za kaskazini (Arab countries) wamefeli. Uchumi wa Morocco, Egypt, Algeria, Tunisia, Libya hauendani na uhalisia. Wote tumefeli vibaya mno.
Hakuna nchi yenye matumaini Africa. Nchi za Asia nyingi Zika juu Sana. Nyingi zitakuwa developed countries miaka michache ijayo
Je, ni kweli tunaibiwa rasilimali au tumefeli tu. Tatizo nini?
Tatizo biashara huku hatutaki na pia tunawapiga vita wafanyabiashara wetu na pia jamii haziamini kwenye kufanya na kumiliki biashara ya kutatua matatizo yetu sie twapenda sana hiki kiatu kimetoka ujerumani basi ndio kizuri hatutaki tutengeneze cha kwetu hakuna uchumi imara wa kuimport kila kitu lazima to encourage na kuwezesha uwanzishwaji wa SME na MME ndio tutakuwa kiuchumi pia tupunguze kodi kwenye vifaa vya ujasiria mali na uzalishaji yaani vile vya kuweza kujiajiri sio pump ya kumwagilia shamba bei juu mashine za kukata na kukunjia chuma bei juu hatutaweza kunyanyua watu wetu kiuchumi na tunatakiwa taasisi zetu za biashara na binafsi zifanye biashara nje ya mipaka zilete foreign currency.Alietuloga kwa kweli hana huruma. South Africa, Nigeria Egypt wote wamezidiwa na Bangladesh
Afrika tuna matatizo gani. Nchi 54 wote tumefeli. Hata hizo za kaskazini (Arab countries) wamefeli. Uchumi wa Morocco, Egypt, Algeria, Tunisia, Libya hauendani na uhalisia. Wote tumefeli vibaya mno.
Hakuna nchi yenye matumaini Africa. Nchi za Asia nyingi Zika juu Sana. Nyingi zitakuwa developed countries miaka michache ijayo
Je, ni kweli tunaibiwa rasilimali au tumefeli tu. Tatizo nini?
GDP per capital ya Bangladesh ni mara mbili ya TanzaniaGdp per capita ndogo hiyo
Urafiki, Mutex, Kilitex, etc vya enzi za Nyerere mlivipeleka wapi leo mnatolea mfano wa njia walizopitia wengine kufanikiwa wakati njia hizo hizo mmeziua? In fact umem-support mleta mada by 100%.Bangladesh ina sekta pana sana ya utengenezaji wa nguo duniani.
Hayo maswali ukiniuliza mm utakuwa unanionea maswali hayo unatakiwa uwaulize CCM na chawa wake.Urafiki, Mutex, Kilitex, etc vya enzi za Nyerere mlivipeleka wapi leo mnatolea mfano wa njia walizopitia wengine kufanikiwa wakati njia hizo hizo mmeziua? In fact umem-support mleta mada by 100%.
SahihiTatizo biashara huku hatutaki na pia tunawapiga vita wafanyabiashara wetu na pia jamii haziamini kwenye kufanya na kumiliki biashara ya kutatua matatizo yetu sie twapenda sana hiki kiatu kimetoka ujerumani basi ndio kizuri hatutaki tutengeneze cha kwetu hakuna uchumi imara wa kuimport kila kitu lazima to encourage na kuwezesha uwanzishwaji wa SME na MME ndio tutakuwa kiuchumi pia tupunguze kodi kwenye vifaa vya ujasiria mali na uzalishaji yaani vile vya kuweza kujiajiri sio pump ya kumwagilia shamba bei juu mashine za kukata na kukunjia chuma bei juu hatutaweza kunyanyua watu wetu kiuchumi na tunatakiwa taasisi zetu za biashara na binafsi zifanye biashara nje ya mipaka zilete foreign currency.
hahahaaaaaMnatoa wapi matango pori machungu namna hii
tena na usheeeGDP per capital ya Bangladesh ni mara mbili ya Tanzania
Bangladesh US$ 2780
Tanzania US$ 1327
Duh! Siku zote najua ni chawa pro max. Sorry for that oversight.Hayo maswali ukiniuliza mm utakuwa unanionea maswali hayo unatakiwa uwaulize CCM na chawa wake.