ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Mm siasa za nchi hii zilisha nichosha sina muda nazo.Duh! Siku zote najua ni chawa pro max. Sorry for that oversight.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm siasa za nchi hii zilisha nichosha sina muda nazo.Duh! Siku zote najua ni chawa pro max. Sorry for that oversight.
Tatizo ni hizi dini kuu mbili. Uislam na ukristo. Dini hizi ni wakala wa utumwa na umaskini. Kama waafrika ikitokea tukaacha na hizo imani, tutapiga hatua kubwa kimaendeleo maana akili zetu zote zimefungiwa hapo.Alietuloga kwa kweli hana huruma. South Africa, Nigeria Egypt wote wamezidiwa na Bangladesh
Afrika tuna matatizo gani. Nchi 54 wote tumefeli. Hata hizo za kaskazini (Arab countries) wamefeli. Uchumi wa Morocco, Egypt, Algeria, Tunisia, Libya hauendani na uhalisia. Wote tumefeli vibaya mno.
Hakuna nchi yenye matumaini Africa. Nchi za Asia nyingi Zika juu Sana. Nyingi zitakuwa developed countries miaka michache ijayo
Je, ni kweli tunaibiwa rasilimali au tumefeli tu. Tatizo nini?
Mbona hiyo Bangladesh na wenyewe ni wafuasi wa dini unazo ziita za kitumwa?Tatizo ni hizi dini kuu mbili. Uislam na ukristo. Dini hizi ni wakala wa utumwa na umaskini. Kama waafrika ikitokea tukaacha na hizo imani, tutapiga hatua kubwa kimaendeleo maana akili zetu zote zimefungiwa hapo.
babalevo... mwijaku...Hayo maswali ukiniuliza mm utakuwa unanionea maswali hayo unatakiwa uwaulize CCM na chawa wake.
wewe na wabangladeshi nan anauhusiano mkubwa zaid na hiyo dini?Mbona hiyo Bangladesh na wenyewe ni wafuasi wa dini unazo ziita za kitumwa?
Wangladesh walipelekewa kama mm nilivyo letewa hivyo hatuna tofauti.wewe na wabangladeshi nan anauhusiano mkubwa zaid na hiyo dini?
hizo dini zinawafaa wao ila siyo sisi waafrica.Mbona hiyo Bangladesh na wenyewe ni wafuasi wa dini unazo ziita za kitumwa?
Bangladesh hii hii juzi Walioandamana kumtoa Sheikh Hasina??Alietuloga kwa kweli hana huruma. South Africa, Nigeria Egypt wote wamezidiwa na Bangladesh
Afrika tuna matatizo gani. Nchi 54 wote tumefeli. Hata hizo za kaskazini (Arab countries) wamefeli. Uchumi wa Morocco, Egypt, Algeria, Tunisia, Libya hauendani na uhalisia. Wote tumefeli vibaya mno.
Hakuna nchi yenye matumaini Africa. Nchi za Asia nyingi Zika juu Sana. Nyingi zitakuwa developed countries miaka michache ijayo
Je, ni kweli tunaibiwa rasilimali au tumefeli tu. Tatizo nini?
Malaysia imeendelea kama Indonesia na zinaifukuzia Singapore .Sasa Bangladesh si maskini tu pamoja na wenzake Nepal na Malaysia?
Hivyo viwanda vyote viliishia kwenye vita ya Kagera.Urafiki, Mutex, Kilitex, etc vya enzi za Nyerere mlivipeleka wapi leo mnatolea mfano wa njia walizopitia wengine kufanikiwa wakati njia hizo hizo mmeziua? In fact umem-support mleta mada by 100%.
www.worlddata.info
Ukubwa wa uchumi maana yake nini?Alietuloga kwa kweli hana huruma. South Africa, Nigeria Egypt wote wamezidiwa na Bangladesh
Afrika tuna matatizo gani. Nchi 54 wote tumefeli. Hata hizo za kaskazini (Arab countries) wamefeli. Uchumi wa Morocco, Egypt, Algeria, Tunisia, Libya hauendani na uhalisia. Wote tumefeli vibaya mno.
Hakuna nchi yenye matumaini Africa. Nchi za Asia nyingi Zika juu Sana. Nyingi zitakuwa developed countries miaka michache ijayo
Je, ni kweli tunaibiwa rasilimali au tumefeli tu. Tatizo nini?
Kazi kwelikweli/ JobTrueTrue 😂😂Alietuloga kwa kweli hana huruma
Na ndio hawa kunguru weusi tunao walitolewa huko.Bangladesh iko Africa?
Hao wanakunya baharini,wanaoga humohumo,wanakojoa humo wanavua samaki wanauza na kula.
Hakuna watu wachafu km hiyo kabila.
GDP per capital ya Bangladesh ni mara mbili ya Tanzania
Bangladesh US$ 2780
Tanzania US$ 1327