Uchumi wa dunia unaendeshwa na viwanda, na ndio sera ya CCM,kuna watu hawaeleweki kama CHADEMA

Katibu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2025
Posts
489
Reaction score
119
Asalam aleykum waislam wenzangu.

Uchumi wa dunia unaendeshwa na viwanda,na ndio sera ya ccm,kuna watu hawaeleweki kama chadema wanapinga hadi viwanda.

Nchi imejenga viwanda vingi kusaidia uzalishaji ambapo jumla ya viwanda 23000 vimekamilika,lkn cha ajabu genge la nyumbu wa CHADEMA wanapinga.

Tusiache kuwaza kwa akili tuwe logic na sio slippery slope kama wanavyokalili nyumbu.

Nchu yetu inapiga hatua sana kiuchumi,amani ikochagiza na upinzani uchwara ukixhangamsha mambo kama afanyavyo tapeli lissu na wakili mwenzio mtoto wa mjini bwana Nshala.

Nawatakia Adhuhuri njema.
Tukumbuke kuswali,Uislam uinuke
 
Mkiulizwa Viwanda alivyoacha nyerere mmepeleka wapi huwa mnajibu nini?

Nadhani pia unaongelea mafundi vyerehani 23000
 
Asalam aleykum waislam wenzangu.

Uchumi wa dunia unaendeshwa na viwanda,na ndio sera ya ccm,kuna watu hawaeleweki kama chadema wanapinga hadi viwanda.

Nchi imejenga viwanda vingi kusaidia uzalishaji ambapo jumla ya viwanda 23000 vimekamilika,lkn cha ajabu genge la nyumbu wa CHADEMA wanapinga.

Tusiache kuwaza kwa akili tuwe logic na sio slippery slope kama wanavyokalili nyumbu.

Nchu yetu inapiga hatua sana kiuchumi,amani ikochagiza na upinzani uchwara ukixhangamsha mambo kama afanyavyo tapeli lissu na wakili mwenzio mtoto wa mjini bwana Nshala.

Nawatakia Adhuhuri njema.
Tukumbuke kuswali,Uislam uinuke

Mnatuonaga kama mazezeta eeh

Hivyo viwanda labda vya kuzalisha watoto

Kuna kiwanda gani hapa Tanzania ambacho serikali imeanzaisha?

Tunashindwa kuwa na kiwanda hata cha kubangua karanga Tu hakuna haha
 
Zezeta ni wewe usieona viwanda. Vipya
 
Asalam aleykum waislam wenzangu.

Uchumi wa dunia unaendeshwa na viwanda,na ndio sera ya ccm,kuna watu hawaeleweki kama chadema wanapinga hadi viwanda.

Nchi imejenga viwanda vingi kusaidia uzalishaji ambapo jumla ya viwanda 23000 vimekamilika,lkn cha ajabu genge la nyumbu wa CHADEMA wanapinga.

Tusiache kuwaza kwa akili tuwe logic na sio slippery slope kama wanavyokalili nyumbu.

Nchu yetu inapiga hatua sana kiuchumi,amani ikochagiza na upinzani uchwara ukixhangamsha mambo kama afanyavyo tapeli lissu na wakili mwenzio mtoto wa mjini bwana Nshala.

Nawatakia Adhuhuri njema.
Tukumbuke kuswali,Uislam uinuke
Tumia id yako iliyozoeleka
 
Jaffo alisema mama amejenga viwonder 28000😂. Sijui viko wapi maama hapa mkoani kwangu sioni kiwanda hata ki1.
 
Labda viwanda vya umbeya na uchawa tupo juu angani yani!
 
Back
Top Bottom