Katibu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2025
- 489
- 119
- Thread starter
- #21
Isije kuwa unaishi msangamkuuJaffo alisema mama amejenga viwonder 28000😂. Sijui viko wapi maama hapa mkoani kwangu sioni kiwanda hata ki1.

Hivyo tumewaachia nyumbu chadomoLabda viwanda vya umbeya na uchawa tupo juu angani yani!
Cha kusindika samaki mtwaraMbali na kiwanda cha Chawa kuna kiwanda gani tena kimeanzishwa na serikali?
jifunze kuandika kwanzawanavyokalili nyumbu.
Imepigwa ban ndiyo kasajili hii mchana huu.Tumia id yako iliyozoeleka
Rudisheni kwanza mlivyouza.Asalam aleykum waislam wenzangu.
Uchumi wa dunia unaendeshwa na viwanda,na ndio sera ya ccm,kuna watu hawaeleweki kama chadema wanapinga hadi viwanda.
Nchi imejenga viwanda vingi kusaidia uzalishaji ambapo jumla ya viwanda 23000 vimekamilika,lkn cha ajabu genge la nyumbu wa CHADEMA wanapinga.
Tusiache kuwaza kwa akili tuwe logic na sio slippery slope kama wanavyokalili nyumbu.
Nchu yetu inapiga hatua sana kiuchumi,amani ikochagiza na upinzani uchwara ukixhangamsha mambo kama afanyavyo tapeli lissu na wakili mwenzio mtoto wa mjini bwana Nshala.
Nawatakia Adhuhuri njema.
Tukumbuke kuswali,Uislam uinuke
Vi wonderAsalam aleykum waislam wenzangu.

Atakuja kukoment nayo anaunga mkono hoja.ID yako ya kale iko wapi?
Mngekua mnajua maana ya viwanda pale Tanganyika Packers msingepatoa kwaajili ya ujenzi wa kanisa la vilainishiAsalam aleykum waislam wenzangu.
Uchumi wa dunia unaendeshwa na viwanda,na ndio sera ya ccm,kuna watu hawaeleweki kama chadema wanapinga hadi viwanda.
Nchi imejenga viwanda vingi kusaidia uzalishaji ambapo jumla ya viwanda 23000 vimekamilika,lkn cha ajabu genge la nyumbu wa CHADEMA wanapinga.
Tusiache kuwaza kwa akili tuwe logic na sio slippery slope kama wanavyokalili nyumbu.
Nchu yetu inapiga hatua sana kiuchumi,amani ikochagiza na upinzani uchwara ukixhangamsha mambo kama afanyavyo tapeli lissu na wakili mwenzio mtoto wa mjini bwana Nshala.
Nawatakia Adhuhuri njema.
Tukumbuke kuswali,Uislam uinuke
ChademaHizi ni njaa tu hamna kitu