Uchumi wa dunia unaendeshwa na viwanda, na ndio sera ya CCM,kuna watu hawaeleweki kama CHADEMA

Mbali na kiwanda cha Chawa kuna kiwanda gani tena kimeanzishwa na serikali?
 
Mashoger sisiem mnaongezeka.... Hebu tueleze hivyo viwanda vya ccm viko wapi?.
 
Rudisheni kwanza mlivyouza.
 
Vi wonder
 
Weka hapa pdf yenye hivyo viwanda 23000 tuendelee na mjadala.
 
Viwanda vimeuliwa na Chadema? 🀣
Haikufanyi kuwa mtakatifu kuhamisha dhambi zako kwa wengine
 
Tuwape reforms basi maana sisi tuna sera nzuri wao hawaeleweki hata kwahiyo hawatachaguliwa Tuwape reforms tu
 
Mngekua mnajua maana ya viwanda pale Tanganyika Packers msingepatoa kwaajili ya ujenzi wa kanisa la vilainishi


No reform No Election
 
Hapo Mirembe wameanza kuwaruhusu kuingia na sim jamaa ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…