Uchumi wa Frame Tanzania

Uchumi wa Frame Tanzania

Nina jamaa angu Nimemuon mpuuzi Sana kamjengea limchepuko lake fremu Nne, Fremu zimeisha tang Mwaka jana October mpka leo hakun mpangaji.

Lakin Nimeshangaa kwa ninavyo mjua kweli kawezaje kukubali hilo. Sio eneo la Fremu Lile WANAWAKE WANAPOTEZA SANA WATU. Pengine hata hili analosema Lina chanzo hichi WATU WANAPOTEZWA
 
Halafu wajenga FRAME wenyewe kiasi kikubwa inaonekana hawana walau hata kaujuzi kadogo ka biashara, wanajijengea ilimradi tu pasipo kujua kwamba Uchumi wa Frame unaendana na location pia!😥
 
Halafu wajenga FRAME wenyewe kiasi kikubwa inaonekana hawana walau hata kaujuzi kadogo ka biashara, wanajijengea ilimradi tu pasipo kujua kwamba Uchumi wa Frame unaendana na location pia!😥
Kukosa ujuzi au ndio kukosa ubunifu?
Shida ya mtanzania ni kitu kinachoitwa ubunifu! Ni tatizo la mfumo wa elimu ya kukariri mitihani matokeo ni kuishi maisha ya kuigana,yanayofunga ubongo kutafakari zaidi ya kusubiri wazo la mwingine ili anukuu(copy and pasting)
 
Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame.

Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumia wa frame, si Jeshi la Police, Si Jeshi la Wananchi, Si makanisa yaani wote wanawaza Frame, Frame zinaoteshwa kama uyoga, miji imejaaa frame. Halimshauri, ni frame, Majiji ni Frema, Manisapaa zinawaza Frame.

Sasa wameona mjini hakutoshi, Frame zimehamia hadi kwenye makambi ya jeshi, Vituo vya Police, Mitaani maeneo ambayo ni kwa ajili ya Makazi kumejaaa Frame.

Tunako elekea Frame zitakuwa nyingi kuliko watu kama speed itakuwa ni hii hii ya sasa.

Je, hatuna Idea zingine nje ya Uchumi wa Frame?

Tunaandaa frame za kusapoti uchumi wa China make asilimia 99 ya hizo frame lazima ukutane na products za China.
KP.png
 
Pale Lugalo ndio wamefanya mambo ya ajabu na aibu sana..yaani kambi ya kijeshi unaweka maduka halafu umeweka tangazo watu wasisimame wala kupiga picha sasa hao wateja na ile geographia ya lile eneo wanawatoa wapi.
Haya mafremu yasiyo na mipaka kwa Afrika nayaona Tanzania labda na CONGO
 
Tulieni ni hatua tu tunapitia kama nchi ktk nyanja ya kujiletea Maendeleo ..awali tuliamin ktk kuajiiriwa imefika mahali ajira zimekua adimu na utumwa,tumeshtuka asa tupo level ya uchuuzi I mean fremu....tukitoka hapo mda itafika tutakuwa ktk level ya kuproduce vya kwetu(production) hapo mtaona Kila mtaaa na kila frem imegeuka kuwa kiwandan kidogo.so muwe na subira

Shida ni nyie mliopo bado mmekalisha matako kwenye ofisi za watu(modern slave) afu mnapiga kelele eti mbona fremu nyingi mara sijui pale lugalo,pale kinyerez, sijui wap fremu zimejaaa ..my friend hao wameshavuka hatua ya kukalisha matako kwenye ofisi za watu wanaeleka production stage..shida ipo kwako utatokea lini kwenye hzo office za watu unapotumikishwa kama punda.

Wake up kabla hujawah nje ya mfumo.. fremu acha zizidi kujengwa coz ni hatua muhimu sana kuelekea stage ya production huwez ruka stage.😂😂😂
fremu bila ya mpangilio ni upuuzi mtupu..Sasa unajenga mifremu sehemu haina mzuunguuko wa hela ili iweje unakaa fremu 10 miaka mitano hazina mtu.
 
Tanzania ya viwanda iliishia wapi??
Sijaona au kusikia uzinduzi wa viwanda vipya kwa muda mrefu sana.
 
Kuna muwekezaji wamempa lile eneo kahaidi atajenga msikiti mzuri pamoja na fremu za biashara,sasa kaanza na fremu kwanza ili apate pesa ndio awajengee msikiti baadae,
Yani unavunja kwanza nyumba ya ibada alafu unajenga kwanza fremu za biashara nyumba ya utajenga baadae.moja kati ya mkataba wa Chief Mangungo ndio huo,na kuna tetesi nasikia baada ya miaka 20 ndio anawaachia eneo lao.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame.

Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumia wa frame, si Jeshi la Police, Si Jeshi la Wananchi, Si makanisa yaani wote wanawaza Frame, Frame zinaoteshwa kama uyoga, miji imejaaa frame. Halimshauri, ni frame, Majiji ni Frema, Manisapaa zinawaza Frame.

Sasa wameona mjini hakutoshi, Frame zimehamia hadi kwenye makambi ya jeshi, Vituo vya Police, Mitaani maeneo ambayo ni kwa ajili ya Makazi kumejaaa Frame.

Tunako elekea Frame zitakuwa nyingi kuliko watu kama speed itakuwa ni hii hii ya sasa.

Je, hatuna Idea zingine nje ya Uchumi wa Frame?

Tunaandaa frame za kusapoti uchumi wa China make asilimia 99 ya hizo frame lazima ukutane na products za China.
Chini ya CCM na wabunge wake hiyo ni hatua kubwa sana
 
Kukosa ujuzi au ndio kukosa ubunifu?
Shida ya mtanzania ni kitu kinachoitwa ubunifu! Ni tatizo la mfumo wa elimu ya kukariri mitihani matokeo ni kuishi maisha ya kuigana,yanayofunga ubongo kutafakari zaidi ya kusubiri wazo la mwingine ili anukuu(copy and pasting)
shida sio mfumo wa elimu moja kwa moja mfano mzuri ni generation za kwanza kwanza za waarabu na wahindi walioenda ughaibuni nchi kama marekani walifungua maduka leo hii ni moja ya watu wanaoajiri sana, bongo shida kubwa ni hatufikirii kihivyo kufikiri sio lazima shule tunataka majibu mepesi kwa maswali magumu
 
Back
Top Bottom