Uchumi wa Frame Tanzania

Uchumi wa Frame Tanzania

[emoji2] inasikitisha sana ujue dar lilikuwa jiji zuri ujenzi holela Hadi sikuhizi green imeisha ilikuwa imebaki lugalo,napo lugalo wamefyeka eti wajenge frame [emoji2][emoji2].
Kuna watu wachache wanaotumia akili zao vizuri, pale Kinyerezi kuna eneo kubwa kuna jamaa amejenga Kinyerezi Park at least unaweza kuwatowa out hapo wakacheza na kupata chakula badala ya kujaza mafremu kama vichaa.
 
Mtu wa kwanzaaa kutolewa awe bashungwa inamaana yeye hakiona huu ujenzi na madhara yakee,,,,hv kweli wamekaaa wakawazaa wakaona fremu ndo chanzo cha mapato??jeshi likijenga viwanda na wakazalisha bidhaa wakawa na mastore watashndwa kupata kipato kweli??

Kwasasa watu hawafanyi kazi zaidi ya kusifia na mama ndo kabisaaa hasumbuki Inasikitishaa
 
Wewe ni mtoto huwezi kujuwa haya mambo, nani kakudanganya kwenye ndoa hakuna Mali binafsi?

Ndio maana hamuishi kuwalalamikia wanawake kila siku kumbe hujui kama hujui.
Nini maana ya mwili mmoja? Mali binafsi si aendelee tu na maisha yake binafsi! Wewe jamaa zinduka hiki kitu hakipo sawa
 
Katika kitu nimekataa Nyumbani kwangu ni kuweka flemu, kwanza napenda shape ya nyumba yangu ionekane kama ilivyo na iko mtaani kabisa tena mtaa mkubwa kabisa, lakini habari ya fremu kwangu marufuku.

Wife ndio ana plot yake binafsi somewhere huko ndio Kajenga maflemu yake kawapangisha watu apate kodi, ila Nyumbani sitaki kabisa kusikia habari ya fremu.
Siku nkikutembelea ntakushawishi uweke frame (joking)
[emoji1] [emoji1787] [emoji23]

Ila frame ni nyingi duh

Ova
 
Elimu ytu haitupi maarifa ya kiushindani,hakuna ushindani wa ideas,bali kila mtu anakopi,serikali haijajipanga kuhakikisha wanatengeneza misingi bora shindani ya uzalishaji,wacha wakomae na flemu tu,bado kidogo Chamwino kutakuwa na fremu
 
Nimejikuta nacheka tu nimepita mtaa fulani hivi mazingira ya eneo lile ni tulivu sana nyumba nyingi zina fensi ila kuna mtu alinunua eneo kubwa mwaka jana kapiga frem zaidi ya 15 tangu mwaka jana mpaka leo ni frame mbili tu ndio zinawapangaji sijui boss aliwaza nini ukiangalia eneo lenyewe haieleweki wateja wanatoka wapi maeneo yapo kimya.
Mama yupo kazini kazi iendelee
 
Dodoma njia ya waziri mkuu kuanzia wajenzi ,swaswa,Ilazo mpk Martin Luther yote imejaa Frame..humu ndani kwny makazi yetu kila fensi ina frame mbele...kuna mwingine alisahau kuweka anajenga kichumba ndani anatoboa kidirisha kwny fensi ili iwe frame auze....sijui unanunua wapi unaacha wapi
 
Dodoma njia ya waziri mkuu kuanzia wajenzi ,swaswa,Ilazo mpk Martin Luther yote imejaa Frame..humu ndani kwny makazi yetu kila fensi ina frame mbele...kuna mwingine alisahau kuweka anajenga kichumba ndani anatoboa kidirisha kwny fensi ili iwe frame auze....sijui unanunua wapi unaacha wapi
Hehe, halafu anapaua kakibaraza. Miasha magumu sana.
 
Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame.

Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumia wa frame, si Jeshi la Police, Si Jeshi la Wananchi, Si makanisa yaani wote wanawaza Frame, Frame zinaoteshwa kama uyoga, miji imejaaa frame. Halimshauri, ni frame, Majiji ni Frema, Manisapaa zinawaza Frame.

Sasa wameona mjini hakutoshi, Frame zimehamia hadi kwenye makambi ya jeshi, Vituo vya Police, Mitaani maeneo ambayo ni kwa ajili ya Makazi kumejaaa Frame.

Tunako elekea Frame zitakuwa nyingi kuliko watu kama speed itakuwa ni hii hii ya sasa.

Je, hatuna Idea zingine nje ya Uchumi wa Frame?

Tunaandaa frame za kusapoti uchumi wa China make asilimia 99 ya hizo frame lazima ukutane na products za China.
Umeongea point, tumejaziwa uchafu toka China ni shida tu unanunua bidhaa ukifika nyumbani tayari imeharibika wao wanazidi kupanda kiuchumi tu
 
Back
Top Bottom