Uchumi wa Kati umeenda wapi?

Mkuu,ng'ombe yako inadhalilidhwa na wewe upo tu!!!!
 
Tatizo ni upofu wa viongozi wa juu CCM.
Mimi mwana CCM, lakini kwa uongozi wa Awamu ya Tano, CCM haikulitendea haki Taifa hili.
Walileta mtu ambaye alianza kulimega Taifa vipande vipande, pamoja na CCM yenyewe.

Kama mwanaCCM, bila shaka unajua kuwa azma ya CCM ni kuminya demokrasia, kupuuza machaguo ya wananchi kupitia kura zao na kujihakikishia utawala wa kudumu kwa kutumia vyombo vya dola.

Hicho unachoita “upofu wa viongozi wa juu wa CCM” actually ni matokeo ya harakati za chama kukandamiza demokrasia ili kibaki madarakani by hooks and crooks. Mko radhi hata mwehu atawale nchi kwa jina la CCM kuliko mpinzani hasa CHADEMA awe madarakani hata kwa term moja tu. Unaona sawa hivyo?
 
Nilipojadili nawe wakati ule hadi ukanieleza uCCM wako nilikuona kama mtu mwenye akili kidogo kichwani, kumbe ni mtu 'bogus' kabisa!

Waziri wa Ujenzi chini ya Magufuli alipowafungia mirija yenu, ukawa unapayuka hapa ukumbini afukuzwe kazi. Waziri huyo huyo chini ya Samia unamwimbia nyimbo za sifa kama mtu ambaye hujawahi kumsuta kwa lolote.

Mtu mwenye akili za namna hii, utalalamika vipi unapoambiwa kuwa wewe ni mpumbavu?

Sasa kama hutaki nikuone kama kichaa fulani, nionyeshe maneno yoyote ambayo niliwahi kuyatumia humu jukwaani yanayohalalisha mimi niwe "sukumagang" kama ulivyofanya hapo juu.
 
Mkuu you just another stupid person on the horizon.
No ideas, no positive contribution.
Your hero was a fixer, now a dead fixer.
Na Tanzania si nchi ya uchumi wa kati as you stupidly belived.
 
Mkuu you just anothe stupi lerson on the horizon.
No ideas, no positive contribution.
Your hero was a fixer, now a dead fixer.
Na Tanzania si nchi ya uchumi wa kati as you stupidly belived.
Lugha huiwezi, usipoteze muda na kitu usichokuwa na uwezo nacho.
In fact, inaonyesha wazi kwamba wewe ni mtu duni kwelikweli.
 
Wapumbavu kabisa nyie. WB ndo waliotangaza uchumi wa kati, kwa nini alaumiwe JPM?

Mnapoteza muda bure tu. Hakuna wa kulinganishwa na JPM kwa sasa.
Uzuri ni kwamba, hata Bibie alishakiri wazi kwa kinywa chake kuwa hata afurukute, hawezi hata kumkaribia JPM.
 
Haipiti siku Uzi,hbr za magufuli bila kuanzishwa hakika huyu alikuwa mtu aliyewafurahisha watanzanzia na wakt huo huo kawakera na walio kereka kbsa Ni wapoinzani Hilo halina ubishi hata hii Uzi umeanzishwa na mpizani
 
Uwoni ule umati mkubwa uliyo muaga pale taifa mpk vijaana wakafunja fence ili tu kumuaga Bado hamuoni kuwa huyu mtu alipendwa na watu na wataz wote

CDM mjipange Sana jins ya kumchafua hayati magufuli
 
Tatizo ni upofu wa viongozi wa juu CCM.
Mimi mwana CCM, lakini kwa uongozi wa Awamu ya Tano, CCM haikulitendea haki Taifa hili.
Walileta mtu ambaye alianza kulimega Taifa vipande vipande, pamoja na CCM yenyewe.
Kivip alilimega taifa wew mwan CDM
 
Sikuwahi kuwa kinara wa kumtetea, pengine unaota tu.
Kuna mambokweli alifanya vema lakini ubaguzi, ukabila utesaji, utekaji nyara, upendeleo wa eneo, utateteaji maovu hayo?
Hayo mbna yapo kwa kila rais wee uoni hata mam Samia anateuwa watu wake tu
 
Ukiona Kiongozi anayetumia nguvu na mabavu kuaminisha watu Jambo, huyo Ni Muongo. Kaa naye mbali. Ukweli huwa haujifichi Hadi kuhitaji nguvu nyingi na kumwaga damu za watu ili kuutangaza.
Pmj na upumabfu wa magufuli Bado namkubali mbaya mbovu atabaki kuwa rais wangu namba moja niliyemuona kwa jins ya kuendesha nch kimazabe
 
Kbsa haelewi na Wala hajui upuuz wa kinachofanywa na uongoz wa mam enu
 
Pmj na hayo Ni Bora utawal wa magufuli na lkina makonda na sabya lkn syo hili genge la walanguzi shenzi kbsa serekali imetekwa hiii mm mawambai ukweli
 
Kbsa mkuu alfu wanazani kuwa ss tunaomtetea Dr magufuli Ni wasukuma Nani kasema mm Wala sina chembe hzo ila ukweli magufuli alikuwa ndio rais taif hili linahitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…