fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
PWapumbavu kabisa nyie. WB ndo waliotangaza uchumi wa kati, kwa nini alaumiwe JPM?
Mnapoteza muda bure tu. Hakuna wa kulinganishwa na JPM kwa sasa.
Uzuri ni kwamba, hata Bibie alishakiri wazi kwa kinywa chake kuwa hata afurukute, hawezi hata kumkaribia JPM.
Ndiyo maana mtu mweupe hapati tabu kumuongoza mwafrika maana mwafrika huwa anaamini kuwa hawezi kujitegemea watu wanaombeza Magufuli hawaamini kuwa jpm alikubalika hata kwa mataifa ya njeNi kweli tuliingia uchumi wa kati wa chini maana tulikidhi vigezo vyao, japo tuliondolewa tena.
Mmejaa chuki tu zisizo na sababu kwa Marehemu, ndio maana hamuogopi kumzushia uongo, acheni Utoto.
Mkuu ni ngumu sana kueleweka maana watu wanajifanya hawana macho ya kuona na hawana masikio ya kusikia but smart people they're appreciate Jpm era.Popote tulipokuwa sasa hivi tumerudi nyuma...
Huo Uchumi hata tungekuwa uchumi wa kwanza bado huenda majority wangekuwa hawana kitu kinachopimwa ni mapato ya wote na kugawiwa kwa wote kwahio kama una wazee wa vijisenti watano wanaweza kuwachangia masikini wote...
Swali ni are we better off economically now ?, Jibu unless ni mlamba asali things are worse na tunakoelekea ni wors
Shuleni si mnazo kamusi ? Jitahidi basi kutumia ili kimombo chako kisikuwa na mapengo kama cha huyo 'legend' wakoUna uwezo mdogo sana wa uelewa ndio maana hukuwahi kumuelewa Regendari Magufuli!
Data walipewa na nani?Lini Magufuli alisema tuko uchumi wa kati? World Bank na IMF ndio waliotangaza hivyo kwa kutumia vigezo vyao wenyewe. Usimpakazie marehemu wa watu. Mwache apumzike kwa amani. Amina.
Kwahiyo hivi sasa tupo katika uchumi upi?Yule mzee alikuwa fiksi sana.
Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
Ngoja twende tukatambike Chato!Kwahiyo hivi sasa tupo katika uchumi upi?