Uchumi wa Kati umeenda wapi?

Uchumi wa Kati umeenda wapi?

Wapumbavu kabisa nyie. WB ndo waliotangaza uchumi wa kati, kwa nini alaumiwe JPM?

Mnapoteza muda bure tu. Hakuna wa kulinganishwa na JPM kwa sasa.
Uzuri ni kwamba, hata Bibie alishakiri wazi kwa kinywa chake kuwa hata afurukute, hawezi hata kumkaribia JPM.
P
 
Popote tulipokuwa sasa hivi tumerudi nyuma...

Huo Uchumi hata tungekuwa uchumi wa kwanza bado huenda majority wangekuwa hawana kitu kinachopimwa ni mapato ya wote na kugawiwa kwa wote kwahio kama una wazee wa vijisenti watano wanaweza kuwachangia masikini wote...

Swali ni are we better off economically now ?, Jibu unless ni mlamba asali things are worse na tunakoelekea ni worst
 
Ni kweli tuliingia uchumi wa kati wa chini maana tulikidhi vigezo vyao, japo tuliondolewa tena.

Mmejaa chuki tu zisizo na sababu kwa Marehemu, ndio maana hamuogopi kumzushia uongo, acheni Utoto.
Ndiyo maana mtu mweupe hapati tabu kumuongoza mwafrika maana mwafrika huwa anaamini kuwa hawezi kujitegemea watu wanaombeza Magufuli hawaamini kuwa jpm alikubalika hata kwa mataifa ya nje
 
Popote tulipokuwa sasa hivi tumerudi nyuma...

Huo Uchumi hata tungekuwa uchumi wa kwanza bado huenda majority wangekuwa hawana kitu kinachopimwa ni mapato ya wote na kugawiwa kwa wote kwahio kama una wazee wa vijisenti watano wanaweza kuwachangia masikini wote...

Swali ni are we better off economically now ?, Jibu unless ni mlamba asali things are worse na tunakoelekea ni wors
Mkuu ni ngumu sana kueleweka maana watu wanajifanya hawana macho ya kuona na hawana masikio ya kusikia but smart people they're appreciate Jpm era.
 
Back
Top Bottom