maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
Ripoti ya Benki ya dunia, sio ripoti ya chato, nyinyi waimba taarabu ndio mtuambie kwanini tumeshuka.Yule mzee alikuwa fiksi sana.
Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.