Uchumi wa Kati: Wanafunzi wafanyia mitihani chini ya miti

Uchumi wa Kati: Wanafunzi wafanyia mitihani chini ya miti

Acha porojo hata huko kwenye uchumi wa juu kuna masikini na ambao hawajui hata kesho ataamuka vipi, tembea uone usiishie Kajunjumele na Hai kwa mungu wenu

Mkuu tuliza hasira, umepaniki sana kwenye comment yako. Jamaa halinganishi uchumi wa kati wenu na wowote mwingine wala hajasema nchi za uchumi wa kati zinajitosheleza.

Ameonesha jambo lililokuuma ambalo ni la kweli. Kuna uhaba wa madarasa, vifaa vya maabara na samani kwenye sehemu nyingi za Tanzania. Kama hali hiyo sio sahihi - muoneshe kuwa kapotoka. Haya mambo sijui huko kwenye uchumi wa juu mtu hajui kesho ataamkaje ni porojo za kipumbavu. Shughulika na mambo yanayokuhusu.
 
Uchumi wa Kati uko kwa wanasiasa! Tazama nyumba zao! Maharishi Yao! Watoto was! Wake zap! Ndiyo maana vijana wengi na maprofesa wamejikita huko sasa hvi. Mahali pengine penye uchumi wa kati ni kwa madhehebu ya dini kwani kidogo tunachopata tunawapelekea!
"Uchumi wa Kati uko kwa wanasiasa!

"Mahali pengine penye uchumi wa kati ni kwa madhehebu ya dini".

Sina cha kuongezea mkuu.

Best
 
Kufanya mtihan ivyo sio kwamba watu hawana PA kukaa ila nahis wewe utakua mgen tanzania mbona hii system ya wanafunzi kutolewa nje kufanya mtihan imeanza kitambo Sana
 
Hiyo shule ipo vizuri bhana ungeuliza sababu ya wao kufanya hivyo wala usingeleta huu uzi wako.Kuna shule huku jirani watoto hasa wa darasa la mitihani mwalimu akitaka kuwapa test anawatoa nje kisha anawakalisha mbalimbali kama hivyo madawati wanaacha ndani.Njoo upige picha na huku.
Hii akili au matope..!! ?
 
Na hapo ni Pwani, 50 km unaingia Magogoni. Mikoani je? Serikali inapenda mapambio, lakini vyombo vya habari vikipewa Uhuru wa kufanya kazi, vitaisaidia kuwaumbua wafanyakazi wauza sura.
.Nafikiri pia hujui maana ya kukua kwa uchumi nadhani wewe sawa na wale walioamini Mzee mapesa aliposema atawajaza mapesa wakaamini kweli watajazwa mapesa,roho imekuuma kwa sababu hizo takwimu hazikuletwa na akina Twaweza,bali zimeletwa na hao hao mnaowalamba viatu na kuwatukuza kila kukicha. Nyuso zimewaparama na kuwashuka shuu, anzeni lingine.
 
View attachment 1501370View attachment 1501371

Hii ni shule ya Sekondari ya Kiparang'anda ya mkoani Pwani, aibu hii imetokana na uhaba wa madawati pamoja na vyumba vya madarasa.
Afadhali sisi. Karuzuku hakatoshi inabidi tujiongeze kuchangisha wabunge na kuuza tikitimaji.
1594278745256.png
 
Back
Top Bottom