Uchumi wa Kati: Wanafunzi wafanyia mitihani chini ya miti

Acha porojo hata huko kwenye uchumi wa juu kuna masikini na ambao hawajui hata kesho ataamuka vipi, tembea uone usiishie Kajunjumele na Hai kwa mungu wenu

Mkuu tuliza hasira, umepaniki sana kwenye comment yako. Jamaa halinganishi uchumi wa kati wenu na wowote mwingine wala hajasema nchi za uchumi wa kati zinajitosheleza.

Ameonesha jambo lililokuuma ambalo ni la kweli. Kuna uhaba wa madarasa, vifaa vya maabara na samani kwenye sehemu nyingi za Tanzania. Kama hali hiyo sio sahihi - muoneshe kuwa kapotoka. Haya mambo sijui huko kwenye uchumi wa juu mtu hajui kesho ataamkaje ni porojo za kipumbavu. Shughulika na mambo yanayokuhusu.
 
"Uchumi wa Kati uko kwa wanasiasa!

"Mahali pengine penye uchumi wa kati ni kwa madhehebu ya dini".

Sina cha kuongezea mkuu.

Best
 
Kufanya mtihan ivyo sio kwamba watu hawana PA kukaa ila nahis wewe utakua mgen tanzania mbona hii system ya wanafunzi kutolewa nje kufanya mtihan imeanza kitambo Sana
 
Hii akili au matope..!! ?
 
Na hapo ni Pwani, 50 km unaingia Magogoni. Mikoani je? Serikali inapenda mapambio, lakini vyombo vya habari vikipewa Uhuru wa kufanya kazi, vitaisaidia kuwaumbua wafanyakazi wauza sura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…