Uchumi wa Kenya unazidi Kuzorota: Mabati Rolling Mills commissions new manufacturing plant in Athi River

Uchumi wa Kenya unazidi Kuzorota: Mabati Rolling Mills commissions new manufacturing plant in Athi River

Kevin85ify

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2019
Posts
2,684
Reaction score
3,429
Safal Building Systems Business Head Manish Garg demonstrates to Machakos County Deputy Governor Francis Maliti Steel coils going through profiling Surf building for pre engineered buildings Mabati Rolling Mills (MRM) Off Mombasa Road) October 1, 2020.

Image: CHARLENE MALWA

Mabati Rolling Mills Limited (MRM), a member of the Safal Group, has launched the SAFBUILD Manufacturing Plant at its Athi River facility.

MRM’s SAFBUILD brings to the market a new way of building quality steel framed buildings using custom designed Proprietary Software.

The cold formed high strength frames are fully factory-produced ready for quick erection and assembly at site.

The plant has a capacity to supply both domestic and regional markets in a range of standard buildings and custom designed solutions.

“SAFBUILD and SAFDESIGN now provides us world class technology in Pre-Engineered Steel Building solutions which allows us to deliver buildings to clients within very tight timelines” said Andrew Heycott, CEO Mabati Rolling Mills.

“We believe this innovative investment will revolutionize the way modular Steel buildings are constructed. This will further support the Government’s ‘Big Four’ agenda, further contribute to the competitiveness of Kenya’s manufacturing and agricultural sectors and help to ensure greater compliance to building standards”

Speaking during the commissioning ceremony, the SAFBUILD Business Head, Manish Garg, was confident that many projects across commercial, agricultural, industrial and social sectors will benefit from the solution.

“Since commissioning we have produced and supplied several projects to satisfied clients and we have many more in the pipeline under current design and production. The buildings are made fit-for-purpose to exacting designs and are environmentally sustainable” added Garg.

Kenya and indeed the East African Region remains on a trajectory of rapid urbanization and infrastructure development.

There is increased demand for more sustainable buildings that deliver greater efficiency and for more efficient construction methods to provide durability.
 
All the best to Mabati rolling. Huku Tanzania wana kiwanda chao kinaitwa Aluminium Africa (ALAF). Ndiko walikopatia mtaji wa kuwekeza Kenya. Mhakikishe kiwanda kinazalisha. Kisipozalisha cha Bongo kitauzwa kufidia deni la mkopo benki!
 
All the best to Mabati rolling.. Huku Tanzania wana kiwanda chao kinaitwa Aluminium Africa (ALAF). Ndiko walikopatia mtaji wa kuwekeza Kenya... Mhakikishe kiwanda kinazalisha.. Kisipozalisha cha Bongo kitauzwa kufidia deni la mkopo benki!
Mabati rolling mills ni kampuni ya Kenya ilianza mwaka 1962 Mariakani, Mombasa. Kwa sahi wako na viwanda 5 kubwa ndani ya Kenya.Viwanda vyao vya Kenya ndizo kubwa kwa viwanda vyao vyote.

Aliyeanzisha ni mkenya anaitwa Manu Chandaria na yeye ndiye amejenga hizo viwanda zenye ziko uganda,tanzania mpaka zambia. Ili aweze kumanage hizi viwanda vyote alitengeneza safal group ambayo ni kampuni ya hapa Kenya na inasimamia viwanda vyote vya safal group afrika nzima.

Kenya tunawekeza Tanzania akini nyinyi kwa kuwa hamjui kufanya biashara hakuna hata kampuni ya kutoka Tanzania inayoweza kushindana na za Kenya.

Wakati mwingine ni vizuri kusoma kabla uoneshe umati wa watu kuwa huna akili.
 
Tatizo kubwa la Manufacturing sector yenu ni gharama za uzalishaji kuwa juu kiasi kwamba bidhaa zenu zinakua ghali kushindwa kupambana katika masoko.
Bei ya umeme na bei ya labour (salary) ndio inafanya bei ya bidhaa kuwa juu hapa Kenya. Hapa Kenya mfanyakazi wa chini kabisa analipwa $80-$100 kwa mwezi au zaidi ila Ethiopia mfanyakazi wa chini analipwa $40 kwa mwezi au zaidi. Ethiopia inajenga industries nyingi kwa sababu ya bei nafuu ya umeme na labour.
 
Tatizo kubwa la Manufacturing sector yenu ni gharama za uzalishaji kuwa juu kiasi kwamba bidhaa zenu zinakua ghali kushindwa kupambana katika masoko.
Gharama yenyu iko chini lakini bado Kenya inazidi kuwapiga viboko kwa uwekezaji na kwa kujenga viwanda, hamuoni aibu? Gharama yenyu iko chini (Kwanza mishahara) lakini anayetaka kuanzisha kiwanda katika eac lazima aanze na Kenya,alafu ya Kenya ndiyo iwe inasimamia hizo zingine zote.

Mko na gharama ya chini lakini huko Tanzania safal group, inayomilikiwa na Mkenya manu chandaria iko na kiwanda kimoja tu, ilhali huku Kenya wako na viwanda 5 kubwa.
 
Tatizo kubwa la Manufacturing sector yenu ni gharama za uzalishaji kuwa juu kiasi kwamba bidhaa zenu zinakua ghali kushindwa kupambana katika masoko.
Soma hii report. Hii report inasema kuwa bei ya chini kabisa ya labour huko Ethiopia ni $26 kwa mwezi. Ya Kenya average ni $207 kwa mwezi katika manufacturing industry. Hio ni karibu mara kumi ya vile Mhabeshi anavyolipwa. Bado endelea kusema kuwa Kenya sisi ni masikini.

https://www.google.com/amp/s/www.cn...s-garment-workers-are-worlds-lowest-paid.html
 
Bei ya umeme na bei ya labour (salary) ndio inafanya bei ya bidhaa kuwa juu hapa Kenya.
Kwanza labor costs, mishahara Kenya iko juu kushinda Tanzania. Mshahara ya mtu mmoja Kenya inaweza kulipa watu 2 Tanzania ama 3 Ethiopia.

Umeme Tanzania wako expensive kushinda Kenya kwa sababu tanesco iko na flat rate ilhali kenya kuna variable rate i.e.

Viwanda Kenya hulipa pesa kidogo kwa unit 1. Kwanza usiku malipo ni karibu 1/4 ya mtu anayetumia umeme kwa nyumba. Tanzania kila mtu uwe kiwanda ama matumizi ya nyumba, kila mtu analipa bei ile moja na tanesco inapanga kuongeza.

Alafu cost of doing business Tanzania iko juu kushinda Kenya kwa sababu ya inefficiency na ukosefu wa skilled labor. Kama supply ya umeme haiko stable, alafu watu wanaofanya kazi hapo tanesco hawajui kujituma.
 
Bei ya umeme na bei ya labour (salary) ndio inafanya bei ya bidhaa kuwa juu hapa Kenya. Hapa Kenya mfanyakazi wa chini kabisa analipwa $80-$100 kwa mwezi au zaidi ila Ethiopia mfanyakazi wa chini analipwa $40 kwa mwezi au zaidi. Ethiopia inajenga industries nyingi kwa sababu ya bei nafuu ya umeme na labour
Sasa hapo ndipo panapohitaji elimu ya uchumi na biashara. Kuweza kutoa salary nzuri kwa wafanyakazi wako, wakati huo huo kuhakikisha bidhaa zako zinabaki kuwa na bei ya Chini.

China imefanikiwa sana kuvidhohofisha viwanda vya USA na Japan kwasababu ya kuzalisha bidhaa za bei nafuu, makampuni mengi ya USA na Europe yameamua kuhamisha uzalishaji wao ufanyikie China

Sasa hivi zaidi ya makampuni 500 ya Kenya yapo Tanzania, sababu mojawapo kubwa ni gharama za uzalishaji kuwa chini na upatikanaji wa "cheap raw materials". Bwawa la Nyerere likianza kazi, bei ya umeme itashuka zaidi, makampuni mengi zaidi ya Kenya yatahamia Tanzania.
 
Soma hii report. Hii report inasema kuwa bei ya chini kabisa ya labour huko Ethiopia ni $26 kwa mwezi. Ya Kenya average ni $207 kwa mwezi katika manufacturing industry. Hio ni karibu mara kumi ya vile Mhabeshi anavyolipwa. Bado endelea kusema kuwa Kenya sisi ni masikini

https://www.google.com/amp/s/www.cn...s-garment-workers-are-worlds-lowest-paid.html
Hahahaha, mimi hapa ninazungumzia gharama za uzalishaji Kenya kuwa juu, hivyo kufanya bidhaa za Kenya kuwa juu kushindwa kupambana katika masoko, hiyo habari ya kusema Kenya ni masikini inakujaje hapa, au unataka kuvuruga hii mada? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza labor costs, mishahara Kenya iko juu kushinda Tanzania. Mshahara ya mtu mmoja Kenya inaweza kulipa watu 2 Tanzania ama 3 ethiopia.

Umeme Tanzania wako expensive kushinda Kenya kwa sababu tanesco iko na flat rate ilhali kenya kuna variable rate i.e.

Viwanda Kenya hulipa pesa kidogo kwa unit 1. Kwanza usiku malipo ni karibu 1/4 ya mtu anayetumia umeme kwa nyumba. Tanzania kila mtu uwe kiwanda ama matumizi ya nyumba, kila mtu analipa bei ile moja na tanesco inapanga kuongeza.

Alafu cost of doing business Tanzania iko juu kushinda Kenya kwa sababu ya inefficiency na ukosefu wa skilled labor. Kama supply ya umeme haiko stable, alafu watu wanaofanya kazi hapo tanesco hawajui kujituma.
Wacha urongo, mishahara ya Tanzania ipo juu kuzidi ya Kenya, weka evidence.
 
Sasa hapo ndipo panapohitaji elimu ya uchumi na biashara. Kuweza kutoa salary nzuri kwa wafanyakazi wako, wakati huo huo kuhakikisha bidhaa zako zinabaki kuwa na bei ya Chini.

China imefanikiwa sana kuvidhohofisha viwanda vya USA na Japan kwasababu ya kuzalisha bidhaa za bei nafuu, makampuni mengi ya USA na Europe yameamua kuhamisha uzalishaji wao ufanyikie China

Sasa hivi zaidi ya makampuni 500 ya Kenya yapo Tanzania, sababu mojawapo kubwa ni gharama za uzalishaji kuwa chini na upatikanaji wa "cheap raw materials". Bwawa la Nyerere likianza kazi, bei ya umeme itashuka zaidi, makampuni mengi zaidi ya Kenya yatahamia Tanzania.
Uhusiano kati ya Kenya na Tanzania ni mbovu sana. Chuki kati ya nchi hizi mbili hazitaruhusu kampuni nyingi za Kenya kuhamia TZ.

Wafanyibiashara wa Kenya wanachukizwa sana na kufungwa kwa border kila wakati. Naona Uganda wakipokea industries nyingi za Kenya kwa sababu Uganda na Kenya ni marafiki kutoka jadi na pia Uganda wanajenga bwawa kadhaa kubwa ambazo zitazalisha umeme kwa wingi na kwa bei nafuu.
 
Sasa hapo ndipo panapohitaji elimu ya uchumi na biashara. Kuweza kutoa salary nzuri kwa wafanyakazi wako, wakati huo huo kuhakikisha bidhaa zako zinabaki kuwa na bei ya Chini.

China imefanikiwa sana kuvidhohofisha viwanda vya USA na Japan kwasababu ya kuzalisha bidhaa za bei nafuu, makampuni mengi ya USA na Europe yameamua kuhamisha uzalishaji wao ufanyikie China

Sasa hivi zaidi ya makampuni 500 ya Kenya yapo Tanzania, sababu mojawapo kubwa ni gharama za uzalishaji kuwa chini na upatikanaji wa "cheap raw materials". Bwawa la Nyerere likianza kazi, bei ya umeme itashuka zaidi, makampuni mengi zaidi ya Kenya yatahamia Tanzania.
Hiyo ya makampuni ya Kenya kukuja Tanzania ni kitu kwa kizungu inaitwa expansion. Yani niko na biashara nataka kupanua biashara yangu illiniweze kufikia watu wengi zaidi.

Kwa hivyo vile unafikiria hayo makampuni 500 yamefunga operations zao Kenya? Bado wanaendelea kupanua biashara zao Kenya tena kwa kasi kuliko mahala pengine katika eac.

Mabati rolling mills iko na viwanda 5 ndani ya Kenya(hiyo hapo juu ikiwa ya 5) na 1 Tanzania, Hivi juzi bidco wametengeneza kiwanda yao ya 4 hapa Kenya, uganda wako na 1.
 
All the best to Mabati rolling.. Huku Tanzania wana kiwanda chao kinaitwa Aluminium Africa (ALAF). Ndiko walikopatia mtaji wa kuwekeza Kenya... Mhakikishe kiwanda kinazalisha.. Kisipozalisha cha Bongo kitauzwa kufidia deni la mkopo benki!
Wewe punguza bangi. Eti Mabati Rolling mills ilianzia Tanzania? Hahaha.
 
Uhusiano kati ya Kenya na Tanzania ni mbovu sana. Chuki kati ya nchi hizi mbili hazitaruhusu kampuni nyingi za Kenya kuhamia TZ. Wafanyibiashara wa Kenya wanachukizwa sana na kufungwa kwa border kila wakati. Naona Uganda wakipokea industries nyingi za Kenya kwa sababu Uganda na Kenya ni marafiki kutoka jadi na pia Uganda wanajenga bwawa kadhaa kubwa ambazo zitazalisha umeme kwa wingi na kwa bei nafuu.
Hahahaha, uhusiano ni jambo la kisiasa lakini wafanyabiashara wanachojali ni faida pekee, China na Marekani wanagombana kila siku lakini Jack Maa alipeleka misaada USA, Urusi na USA na EU kila siku wanagombana lakini Ambramovich na matajiri wa Urusi wanazidi kuwekea Europe.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza labor costs, mishahara Kenya iko juu kushinda Tanzania. Mshahara ya mtu mmoja Kenya inaweza kulipa watu 2 Tanzania ama 3 ethiopia.
Umeme Tanzania wako expensive kushinda Kenya kwa sababu tanesco iko na flat rate ilhali kenya kuna variable rate i.e.
Viwanda Kenya hulipa pesa kidogo kwa unit 1. Kwanza usiku malipo ni karibu 1/4 ya mtu anayetumia umeme kwa nyumba. Tanzania kila mtu uwe kiwanda ama matumizi ya nyumba, kila mtu analipa bei ile moja na tanesco inapanga kuongeza.

Alafu cost of doing business Tanzania iko juu kushinda Kenya kwa sababu ya inefficiency na ukosefu wa skilled labor. Kama supply ya umeme haiko stable, alafu watu wanaofanya kazi hapo tanesco hawajui kujituma.
TZ kuna viwanda vingi sana vya chuma na mabati na hatujawahi kuagiza kenya so kila mtu ashinde mechi zake.
Mbati ,
Nondo
Mabomba makubwa

yanazalishwa ndani ya nchi
 
Good to see that Kenya is continuing on its industrialisation journey.
Machakos is offering serious competition to Kilifi when it comes to steel factories. Already the chinese are building what will become the largest steel factory in the region in machakos, but kilifi also has 4 huge steel factories including the recent one from Devki which is the first in east africa to process raw iron ore into a wide range of steel products.
 
Back
Top Bottom