Uchumi wa Kenya unazidi Kuzorota: Mabati Rolling Mills commissions new manufacturing plant in Athi River

Uchumi wa Kenya unazidi Kuzorota: Mabati Rolling Mills commissions new manufacturing plant in Athi River

Where did you get this info?
Kuna tariff tofauti Kati ya viwanda na majumbani.
Na majumbani kuna tariff tofauti kati ya mwenye matumizi makubwa na madogo.

Saa ingine utafute taarifa sahihi kabla ya kuandika mambo kama haya.
Tatizo Lake ndio hilo, yupo very shallow katika mazubgumzo yake

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Safal Building Systems Business Head Manish Garg demonstrates to Machakos County Deputy Governor Francis Maliti Steel coils going through profiling Surf building for pre engineered buildings Mabati Rolling Mills (MRM) Off Mombasa Road) October 1, 2020.

Image: CHARLENE MALWA

Mabati Rolling Mills Limited (MRM), a member of the Safal Group, has launched the SAFBUILD Manufacturing Plant at its Athi River facility.

MRM’s SAFBUILD brings to the market a new way of building quality steel framed buildings using custom designed Proprietary Software.

The cold formed high strength frames are fully factory-produced ready for quick erection and assembly at site.

The plant has a capacity to supply both domestic and regional markets in a range of standard buildings and custom designed solutions.

“SAFBUILD and SAFDESIGN now provides us world class technology in Pre-Engineered Steel Building solutions which allows us to deliver buildings to clients within very tight timelines” said Andrew Heycott, CEO Mabati Rolling Mills.

“We believe this innovative investment will revolutionize the way modular Steel buildings are constructed. This will further support the Government’s ‘Big Four’ agenda, further contribute to the competitiveness of Kenya’s manufacturing and agricultural sectors and help to ensure greater compliance to building standards”

Speaking during the commissioning ceremony, the SAFBUILD Business Head, Manish Garg, was confident that many projects across commercial, agricultural, industrial and social sectors will benefit from the solution.

“Since commissioning we have produced and supplied several projects to satisfied clients and we have many more in the pipeline under current design and production. The buildings are made fit-for-purpose to exacting designs and are environmentally sustainable” added Garg.

Kenya and indeed the East African Region remains on a trajectory of rapid urbanization and infrastructure development.

There is increased demand for more sustainable buildings that deliver greater efficiency and for more efficient construction methods to provide durability.
Ujinga nikujisifia kiwanda cha mabati...Viwanda vya Mabati Tanzania ni vingi kiasi kwamba watu kwa Sasa wananunua Mabati direct kutoka kiwandani....Kenya mkoo bado nyuma sanaaaa...
 
Labour costs ni kipengele muhimu lakini muhimu lazima hiyo labour iwe ni skilled labour, hapo ndipo China inatuzidi sisi sote watu wa dunia ya tatu wakiwemo hao unaowataja

China wana very good skilled labour at reasonable Price, very good infrastructure and well connected to the world, very big internal market of 1.6B with good purchasing power

Hakuna mfanyabiashara wa kiwango cha kimataifa atafunga biashara yake na kukimbilia India au Bangladesh. Trade deficit Kati ya China na India ni $50B in favor of China.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Umesoma hizo links tatu nilizokuwekea? Halafu industries kama textile manufacturing haihitaji skilled labour. Tafadhali rudi nyuma usome hizo links nilizokuwekea. Ndio China ina skilled labour ila skilled labour sio muhimu katika industries fulani. Halafu pia likija kwenye suala zima la skilled labour, sio China pekee inayokuwa na skilled labour.

Mfano mzuri ni semiconductor industry, industry ya kutengeneza microchip ya computer au simu. Taiwan na South Korea pia wana skilled labour ambayo sio expensive sana na baadhi ya kampuni za Marekani zinapanga kutoroka China kuanzisha semi-conductor industries katika nchi zingine. Intel kwa mfano ilianzisha kampuni kubwa sana huko Israel ya kutengeneza processor ya computer. Marekani anajaribu juu chini kumuangamiza Mchina. Hata Huawei imefukuzwa Britain, Australia na Marekani

Juzi Tiktok imebaniwa USA. Yaani trade war ni mbaya kwa biashara. Sasa sijui ni vipi Kenya na Tanzania zitafanya biashara kwa pamoja ilhali tunachukiana sana? Mimi naona industries za Kenya zikienda Uganda au Ethiopia maana hizi nchi mbili zitakuwa na bei nafuu ya umeme hivi karibuni na labour costs zao ziko chini na Kenya ina uhusiano mzuri na hizi nchi mbili especially Uganda.
 
E bwana embu jibu kama nilivyokuwa nategemea. Yaani ki learned person vile.
😛 😛 😛
Yaani namaanisha kuna pesa fulani ukilipwa mwisho wa mwezi huwezi kununua chochote mahali popote. Iwe Somalia au Afghanistan. Ndio cost of living in Kenya ipo juu kushinda Ethiopia lakini nchi hizi mbili hazijawachana kwa mbali. Hio $26 ni ndogo sana mahali popote utakapojipata duniani. Yaani haina maana wewe kuleta argument ya cost of living kwa pesa kidogo kama $26 kwa mwezi.
 
So how do they survive!!? Or they apply a consumption function (y = a + bx) with a constant "a" known as an autonomous consumption which is unrelated to income.
😛 😛 😛
 
Umesoma hizo links tatu nilizokuwekea? Halafu industries kama textile manufacturing haihitaji skilled labour. Tafadhali rudi nyuma usome hizo links nilizokuwekea. Ndio China ina skilled labour ila skilled labour sio muhimu katika industries fulani. Halafu pia likija kwenye suala zima la skilled labour, sio China pekee inayokuwa na skilled labour. Mfano mzuri ni semiconductor industry, industry ya kutengeneza microchip ya computer au simu.

Taiwan na South Korea pia wana skilled labour ambayo sio expensive sana na baadhi ya kampuni za Marekani zinapanga kutoroka China kuanzisha industries semi-conductor industries katika nchi zingine. Intel kwa mfano ilianzisha kampuni kubwa sana huko Israel ya kutengeneza processor ya computer. Marekani anajaribu juu chini kumuangamiza Mchina. Hata Huawei imefukuzwa Britain, Australia na Marekani

Juzi Tiktok imebaniwa USA. Yaani trade war ni mbaya kwa biashara. Sasa sijui ni vipi Kenya na Tanzania zitafanya biashara kwa pamoja ilhali tunachukiana sana? Mimi naona industries za Kenya zikienda Uganda au Ethiopia maana hizi nchi mbili zitakuwa na bei nafuu ya umeme hivi karibuni na labour costs zao ziko chini na Kenya ina uhusiano mzuri na hizi nchi mbili especially Uganda.
Haina maana kwamba China pekee ndio kuna skilked labour katika kila eneo, lakini lazima tukubali kwamba kwenye kipengele cha nchi yenye kuvutia katika uwekezaji katika Manufacturing sector, China inaongoza duniani, yes zipo nchi zingine zinafuatia kama India, lakini bado China inafanya vizuri.

Bado Tanzania inasalia kuwa the best Country katika ukanda huu kutokana na upatikanaji wa UMEME wa bei nafuu, kuwepo kwa bandari na reli zinazounganisha nchi nyingi za jirani.

Bidhaa za Tanzania zinaingia katika nchi za SADC na nchi za EAC bila kutozwa kodi, ni nchi pekee katika Afrika ambayo inaunganisha block mbili za kiuchumi ambazo zimeshafikia hatua ya "Common market".

Uganda na Ethiopia zote ni localized country, ukizalisha Uganda au Ethiopia, huwezi pata soko la nchi za jirani kutokana na Geographical location zao, na ukitaka kusafirisha abroad lazima kupata gharama ya kusafirisha hadi Mombasa au Djibouti.

Kenya haina choice, Tanzania is unavoidable for Kenya, you need to work out on how you will accommodate Tanzania, kama mlivyofanya kwa kutuingiza katika orodha ya nchi salama, Kenya haiwezi kuitenga Tanzania.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Alafu unasema unajua kujenga hoja? Hivi mbona ni kama hufanyi utafiti kidogo kabla ya kujibu?

Makampuni yanafunga china na kuelekea india, vietnam, bangladesh etc. Huu mwaka makampuni 1000 yamepanga kukimbia china.

Alafu kusema india hawana skilled labor ni kutokuwa na ufahamu.

India iko na skilled labor pool kubwa .Hivi unajua sahi range rover ni ya wahindi? Hivi unajua TATA motors ni ya India? Unajua India wana jitengenezea ndege za kivita? Hivi unajua india wametuma rover kuenda mars? Kwa ufupi hakuna kitu china wana tengeneza kenye india hawawezi hata treni na reli wanajenga wenyewe.

samsung, hon hai precision instruments, Wistron Corp. na Pegatron Corp ni kati ya makampuni 24 inayowekeza $1.5 billion ndani ya India kujenga viwanda, wakitoka china.

Why India could gain as firms move supply chains away from China

NB: Najua hujui lakini india kwa sahi ndiyo nchi yenye uchumi mkubwa kabisa ndani ya commonwealth i.e. GDP ya india imeshinda ya britain, na makampuni mengi ya india yamenunua makampuni ya britain kama range rover e.t.c.
Naona unaelewa hizi mambo. Wachana na yeye. Anadhani ati China ndio kila kitu. Akina Taiwan wanaunda microchips na South Korea wanaunda post-panamax ships (meli kubwa duniani inatengenezwa South Korea). Yaani the world does not revolve around China alone. Other countries are also technologically advanced. India wako poa sana kumanufacture medicine of all types. Kenya imports most of our medication from India.
 
Tafadhali tunaomba ushahidi kwamba huu mwaka kuna makampuni 1000 yamepanga kuondoka China, kumbuka this is "October".

Hapa kinachosemwa katika hii article ni kwamba haya makampuni yamevutiwa na incentives zilizotolewa na China, huenda wakaenda huko.

Jambo linalonishangaza ni kwamba, Tanzania ikitoa incentives kwa kupunguza gharama za umeme ili kuvutia kampuni toka Kenya, inasema hiyo haiwezi kufanya kazi, makampuni ya Kenya hayawezi kuhama kuja Tanzania kwasababu ya Incentives, lakini India ikitoa incentives kwa kuvutia makampuni yaliyoko China, unashabikia na kusema makampuni 1000 yanaondoka soon[emoji23][emoji23], huwa unatumia vichwa vingapi?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Naona hukutaka kusoma hiyo link ya Al-jazeera iliyotoka bloomberg. Mnaitisha ushahidi mkipewa mnazunguka kuenda kwa vitu vingine.
 
So how do they survive!!? Or they apply a consumption function (y = a + bx) with a constant "a" known as an autonomous consumption which is unrelated to income.
😛 😛 😛
Umesema nini? Sijakuelewa.

Ila nadhani wanasurvive kwa kulima mashamba yao ili kusuplement their meagre income. Hawalipi rent kwa sababu wanaishi kwenye mashamba yao wenyewe. Chakula wanachuna shambani.
 
Tafadhali tunaomba ushahidi kwamba huu mwaka kuna makampuni 1000 yamepanga kuondoka China, kumbuka this is "October".

Hapa kinachosemwa katika hii article ni kwamba haya makampuni yamevutiwa na incentives zilizotolewa na China, huenda wakaenda huko.

Jambo linalonishangaza ni kwamba, Tanzania ikitoa incentives kwa kupunguza gharama za umeme ili kuvutia kampuni toka Kenya, inasema hiyo haiwezi kufanya kazi, makampuni ya Kenya hayawezi kuhama kuja Tanzania kwasababu ya Incentives, lakini India ikitoa incentives kwa kuvutia makampuni yaliyoko China, unashabikia na kusema makampuni 1000 yanaondoka soon[emoji23][emoji23], huwa unatumia vichwa vingapi?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Vile umeruka hiyo ya al jazeera sasa ruka pia hizi
Big multinational companies moving out of China | lovemoney.com
Gartner survey: 33% of companies are moving their supply chains out of China
https://www.washingtonpost.com/worl...89abd2-cb2f-11ea-99b0-8426e26d203b_story.html
StackPath
 
Naona hukutaka kusoma hiyo link ya Al-jazeera iliyotoka bloomberg. Mnaitisha ushahidi mkipewa mnazunguka kuenda kwa vitu vingine.
Nimesoma sikuona neno au namba 1000,. Kukuonyesha kwamba nimesoma, ndio sababu nikakuambia kwamba India imetoa incentives kwa kampuni za China ili ziende India na zimevutiwa zinafikiria kwenda huko.

Nikasema, mbona Tanzania tunaweka Incentives kwa kuzalisha umeme wa bei nafuu ili kuvutia makampuni toka Kenya, wewe unakataa kwamba hayawezi kuja Tanzania pamoja na hizo incentives, lakini hii article inasema baadhi ya makampuni yaliyoko China yamevutiwa na incentives za India, wewe unakubali kwamba makampuni yatotoroka China kwenda India kufuata incentives.

Kwanini incentives za India zifanikiwe lakini za Tanzania zisifanikiwe?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Haina maana kwamba China pekee ndio kuna skilked labour katika kila eneo, lakini lazima tukubali kwamba kwenye kipengele cha nchi yenye kuvutia katika uwekezaji katika Manufacturing sector, China inaongoza duniani, yes zipo nchi zingine zinafuatia kama India, lakini bado China inafanya vizuri.

Bado Tanzania inasalia kuwa the best Country katika ukanda huu kutokana na upatikanaji wa UMEME wa bei nafuu, kuwepo kwa bandari na reli zinazounganisha nchi nyingi za jirani.

Bidhaa za Tanzania zinaingia katika nchi za SADC na nchi za EAC bila kutozwa kodi, ni nchi pekee katika Afrika ambayo inaunganisha block mbili za kiuchumi ambazo zimeshafikia hatua ya "Common market".

Uganda na Ethiopia zote ni localized country, ukizalisha Uganda au Ethiopia, huwezi pata soko la nchi za jirani kutokana na Geographical location zao, na ukitaka kusafirisha abroad lazima kupata gharama ya kusafirisha hadi Mombasa au Djibouti.

Kenya haina choice, Tanzania is unavoidable for Kenya, you need to work out on how you will accommodate Tanzania, kama mlivyofanya kwa kutuingiza katika orodha ya nchi salama, Kenya haiwezi kuitenga Tanzania.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nakuhakikishia kwamba kama Wafanyibiashara wa Kenya wanaogopa unpredictability ya Magufuli kuwa Industries za Kenya hazitafunga biashara Kenya na kuja TZ. Pengine watafanya kama Kevin85ify alivyosema. Yaani industries za Kenya zitafungua branch huko TZ headquarters itabakia Kenya. Hakuna mfanyibiashara anayetaka kufanya kazi na nchi kisirani ambayo hujui kesho itaamua kufanya nini. Kesho wanaeza amua kufunga border.
 
Naona hukutaka kusoma hiyo link ya Al-jazeera iliyotoka bloomberg. Mnaitisha ushahidi mkipewa mnazunguka kuenda kwa vitu vingine.
Tanzania na roho yao chafu sijui ni kampuni gani inaweza kufunga operations Kenya ati inaenda kuinvest Tanzania. Pengine wafungue branch huko lakini HQ ibaki Kenya.
 
Nakuhakikishia kwamba kama Wafanyibiashara wa Kenya wanaogopa unpredictability ya Magufuli kuwa Industries za Kenya hazitafunga biashara Kenya na kuja TZ. Pengine watafanya kama Kevin85ify alivyosema. Yaani industries za Kenya zitafungua branch huko TZ headquarters itabakia Kenya. Hakuna mfanyibiashara anayetaka kufanya kazi na nchi kisirani ambayo hujui kesho itaamua kufanya nini. Kesho wanaeza amua kufunga border.
Kitu unachokosea Tony ni kimoja, sina uhakika kama umeshawahi fanya biashara hizi za Kimataifa. Kampuni la Kanya likihamisha mitambo yake na kuanza kuzalisha huku Tanzania, haliwezi kuathiriwa na kufungwa kwa mpaka wa Kenya na Tanzania, kumbuka kwamba hayo makampuni yanapizalisha Tanzania, hawauzi bidhaa zao Kenya, wengi wanalenga soko la SADC, ndio sababu katika bidhaa za Tanzania zinazouzwa Kenya, Hakuna bidhaa nyingi za wakenya zaidi ya Karatasi.

Bidhaa zote zinazotengenezwa Tanzania na makampuni ya Kenya, zinaandikwa "Made in Tanzania", ili ziweze kuuzika SADC na EAC bila kutozwa kodi.
 
Tanzania na roho yao chafu sijui ni kampuni gani inaweza kufunga operations Kenya ati inaenda kuinvest Tanzania. Pengine wafungue branch huko lakini HQ ibaki Kenya.
Nilikuuliza utaje mfano mmoja ambao Tanzania ndio tulianzisha mgogoro, sisi siku zote tunajibu mapigo baada ya Kenya kuanzisha chokochoko.

Uamuzi wa hizi nchi kuishi kwa upendo upo mikononi mwa Kenya, sio Tanzania, kamwe Tanzania hatujawahi na wala hatuwezi anzisha chokochoko, ila kamwe hatutokaa kimya kama Kenya itaendelea na tabia yake ya "Provocation".
 
All the best to Mabati rolling.. Huku Tanzania wana kiwanda chao kinaitwa Aluminium Africa (ALAF). Ndiko walikopatia mtaji wa kuwekeza Kenya... Mhakikishe kiwanda kinazalisha.. Kisipozalisha cha Bongo kitauzwa kufidia deni la mkopo benki!
Safi sana. Sekta ya ujenzi inakua kila siku. Wawekeze tu
 
Kitu unachokosea Tony ni kimoja, sina uhakika kama umeshawahi fanya biashara hizi za Kimataifa. Kampuni la Kanya likihamisha mitambo yake na kuanza kuzalisha huku Tanzania, haliwezi kuathiriwa na kufungwa kwa mpaka wa Kenya na Tanzania, kumbuka kwamba hayo makampuni yanapizalisha Tanzania, hawauzi bidhaa zao Kenya, wengi wanalenga soko la SADC, ndio sababu katika bidhaa za Tanzania zinazouzwa Kenya, Hakuna bidhaa nyingi za wakenya zaidi ya Karatasi.

Bidhaa zote zinazotengenezwa Tanzania na makampuni ya Kenya, zinaandikwa "Made in Tanzania", ili ziweze kuuzika SADC na EAC bila kutozwa kodi.
Hio sina shida nayo. Hayo ni makampuni ya Kenya yaliyofungua branch TZ ili kuwauzia nyie products. Ndio maana zinaandikwa made in Tanzania. Sasa kama ni hivyo basi kumbuka kuwa hizi kampuni hazijafunga virago Kenya ili kuja kuanzisha biashara TZ. La hasha, bado operation za Kenya zinaendelea ila wanaexpand na kufungua branch TZ ili kuwauzia nyie kwa bei nafuu. Kampuni za Kenya zitazidi kufungua branch Tanzania kwa sababu inamake business sense to do so.

Yaani ni obvious kuwa mfanyibiashara mahiri anajua fika kwamba akifungua industry TZ bei ya bidhaa itapungua kwa sababu ya lower power cost na labour cost. Lakini hawezi funga kampuni iliyoko Kenya kwa sababu hata labour cost na power cost ikiwa juu hapa Kenya na bei ya bidhaa ipande bado Wakenya watanunua. Wakenya wana purchasing power ya hali ya juu kwa sababu mishahara yao pia ni ya juu. Kwa mfano daktari wa Kenya analipwa $2,000 kwa mwezi. Mwalimu wa shule ya upili analipwa around $400 kwa mwezi au hata zaidi. Yaani hata bei ikipanda kuna watu watanunua.

Ndio, pia Kenya kuna walalahoi wengi ambao watapiga makelele na kulia ila Kenya pia ina watu wenye mifuko ndefu. Nyie kwa sababu ya ujamaa kila mtu ana class moja. Yaani kila mtu ana utajiri uliotoshana ndio maana mna income inequality ndogo kutushinda. Sisi hata kampuni ya kutengeneza helicopter ikifunguliwa Kenya, bado itapata wanunuzi wengi tu. Kila mwezi helicopter tano zitakuwa zinauzwa. Nchi ya kibeberu hii, usilinganishe na yenu ya ujamaa.
 
Huwa mara nyingi sipendi sana kujibu posts zako kwasababu ninahisi hazina uzito wowote, kwasababu muda mwingi unatumia hisia na wishful zaidi kuliko reasoning.

Fuatilia kwa makini jinsi Tony254 anavyojibu na utifautishe na wewe. Hivi kama wafanyabiashara wa USA na Europe wanafunga uzalishaji na kwenda kuzalisha China kutokana na gharama ndogo za uzalishaji huko China, kitu gani kitazuia makampuni ya Kenya kuacha kukimbilia katika nchi yenye gharama ndogo za uzalishaji?, punguza ushabiki ili tuwe na meaningful discussion please.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wewe unaongelea "future tense" if I can put it that way. When you said that more than 500 Kenyan companies operate in Tanzania did you mean that those companies closed their Kenyan operations and moved to Tanzania?

Stop using the above example because it doesn't apply in this case kwa sababu China has skilled, something that Tanzania doesn't offer at the moment to make Kenyan companies swap Kenya for Tanzania. Ile siku mtakuwa na enough skilled labour more than Kenya already has, maybe this will happen but at the moment, these are wishful thinking
 
Back
Top Bottom