Alafu unasema unajua kujenga hoja? Hivi mbona ni kama hufanyi utafiti kidogo kabla ya kujibu?
Makampuni yanafunga china na kuelekea india, vietnam, bangladesh etc. Huu mwaka makampuni 1000 yamepanga kukimbia china.
Alafu kusema india hawana skilled labor ni kutokuwa na ufahamu.
India iko na skilled labor pool kubwa .Hivi unajua sahi range rover ni ya wahindi? Hivi unajua TATA motors ni ya India? Unajua India wana jitengenezea ndege za kivita? Hivi unajua india wametuma rover kuenda mars? Kwa ufupi hakuna kitu china wana tengeneza kenye india hawawezi hata treni na reli wanajenga wenyewe.
samsung, hon hai precision instruments, Wistron Corp. na Pegatron Corp ni kati ya makampuni 24 inayowekeza $1.5 billion ndani ya India kujenga viwanda, wakitoka china.
Why India could gain as firms move supply chains away from China
NB: Najua hujui lakini india kwa sahi ndiyo nchi yenye uchumi mkubwa kabisa ndani ya commonwealth i.e. GDP ya india imeshinda ya britain, na makampuni mengi ya india yamenunua makampuni ya britain kama range rover e.t.c.