Uchumi wa Kenya unazidi Kuzorota: Mabati Rolling Mills commissions new manufacturing plant in Athi River

Has the Devki steel mill that processes raw iron ore started operations? It is a game-changer
 
TZ kuna viwanda vingi sana vya chuma na mabati na hatujawahi kuagiza kenya so kila mtu ashinde mechi zake.
Mbati ,
Nondo
Mabomba makubwa

yanazalishwa ndani ya nchi
Punguza utanzania! Mwaka jana Kenya ime export iron na steel ya $20 million kutoka $16.8 million mwaka wa 2018.
Kuthibitisha enda uangalie UN Comtrade data.
 
Huwa mara nyingi sipendi sana kujibu posts zako kwasababu ninahisi hazina uzito wowote, kwasababu muda mwingi unatumia hisia na wishful zaidi kuliko reasoning.

Fuatilia kwa makini jinsi Tony254 anavyojibu na utifautishe na wewe. Hivi kama wafanyabiashara wa USA na Europe wanafunga uzalishaji na kwenda kuzalisha China kutokana na gharama ndogo za uzalishaji huko China, kitu gani kitazuia makampuni ya Kenya kuacha kukimbilia katika nchi yenye gharama ndogo za uzalishaji?, punguza ushabiki ili tuwe na meaningful discussion please.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Has the Devki steel mill that processes raw iron ore started operations? It is a game-changer
Yes but at 1/4 of capacity which is phase 1, by 2022 it will be complete in all phases.
 
Punguza utanzania! Mwaka jana Kenya ime export iron na steel ya $20 million kutoka $16.8 million mwaka wa 2018.
Kuthibitisha enda uangalie UN Comtrade data.
Sijasema hamjaexport

tz hatuja-import MAANA TUNAJITOSHELEZA

kama unahakika mmetuuzia weka hapa
 
Trade war iliyoanzishwa na Trump imefanya trade volume kati ya US na China kupungua. Makampuni mengine ya US yanatoroka China. Trade war na kufungiana border si jambo la kisiasa tu kwa sababu linaathiri biashara.
 
Trade war iliyoanzishwa na Trump imefanya trade volume kati ya US na China kupungua. Makampuni mengine ya US yanatoroka China. Trade war na kufungiana border si jambo la kisiasa tu kwa sababu linaathiri biashara.
Hakuna kampuni liliotoroka China, kilichotokea ni kupungua kwa volumes ya biashara kati ya China na USA, lakini kumbuka kwamba hayo makampuni ya USA huko China, bado yanaendelea kuzalisha bidhaa na kuzipekeka nchi zingine kote duniani.

Haya makampuni hayawezi kurudi USA kwasababu bidhaa za USA ni ghali sana ktk soko la dunia ambako mchina ametawala, ili waweze kuuza bidhaa zao duniani, lazima manufacturing yao ifanyike China.

Yes vita vya biashara ni vibaya Sana, siku zote mwenye high costs of productions ndiye mwenye kuanzisha vita vya biashara ili kulinda soko la bidhaa zake.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sijasema hamjaexport

tz hatuja-import MAANA TUNAJITOSHELEZA

kama unahakika mmetuuzia weka hapa
Hiyo ni data ya export ya kutoka Kenya kuelekea Tanzania mwaka 2018 na 2019, utasemaje hamjaimport ilhali data yote inapatikana online na inaonesha import ya steel kutoka kenya inayoelekea Tanzania inapanda kila mwaka. Hiyo $20 million ilikuwa ni Tanzania tu, hapo sijahesabu Uganda na Rwanda.
 
Ninarudia kwa Mara ya mwisho, kila mfanyabiashara lengo lake ni kupunguza gharama za uzalishaji ili aweze kuuza bidhaa zake kwa haraka na kubaki na faida

Swali: Kama gharama za uzalishaji Kenya zitaendelea kuwa juu, na zile za Tanzania kuendelea kushuka hasa kwa sababu ya upatikanaji wa very cheap electricity and raw materials, Je ni jambo gani litazuia wafanyabiashara wa Kenya kuhamishia viwanda vyao Tanzania, na wale wageni kuamua kuzalishia bidhaa zao Tanzania badala ya Kenya?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sio lazima yarudi US. Yanaweza kuenda Bangladesh, Sri lanka au nchi yoyote iliyo na bei nafuu kushinda China. Kuna nchi nyingi ambazo zina labour costs nafuu kushinda China. Labour cost imekuwa ikipanda China kwa sababu standard of living imekuwa ikiongezeka.
New Data Shows U.S. Companies Are Definitely Leaving China


US Companies Are Leaving China - Prince Manufacturing


StackPath
 
Labour costs ni kipengele muhimu lakini muhimu lazima hiyo labour iwe ni skilled labour, hapo ndipo China inatuzidi sisi sote watu wa dunia ya tatu wakiwemo hao unaowataja

China wana very good skilled labour at reasonable Price, very good infrastructure and well connected to the world, very big internal market of 1.6B with good purchasing power

Hakuna mfanyabiashara wa kiwango cha kimataifa atafunga biashara yake na kukimbilia India au Bangladesh. Trade deficit Kati ya China na India ni $50B in favor of China.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania kila mtu uwe kiwanda ama matumizi ya nyumba, kila mtu analipa bei ile moja na tanesco inapanga kuongeza.
Where did you get this info?

Kuna tariff tofauti Kati ya viwanda na majumbani.

Na majumbani kuna tariff tofauti kati ya mwenye matumizi makubwa na madogo.

Saa ingine utafute taarifa sahihi kabla ya kuandika mambo kama haya.
 

The issue is not the amount one receives per month. But its purchasing power. If that difference does not elevate the normal living standard, then higher pay of kenya is like feeding on wind.
 
Alafu unasema unajua kujenga hoja? Hivi mbona ni kama hufanyi utafiti kidogo kabla ya kujibu?

Makampuni yanafunga china na kuelekea india, vietnam, bangladesh etc. Huu mwaka makampuni 1000 yamepanga kukimbia china.

Alafu kusema india hawana skilled labor ni kutokuwa na ufahamu.

India iko na skilled labor pool kubwa .Hivi unajua sahi range rover ni ya wahindi? Hivi unajua TATA motors ni ya India? Unajua India wana jitengenezea ndege za kivita? Hivi unajua india wametuma rover kuenda mars? Kwa ufupi hakuna kitu china wana tengeneza kenye india hawawezi hata treni na reli wanajenga wenyewe.

samsung, hon hai precision instruments, Wistron Corp. na Pegatron Corp ni kati ya makampuni 24 inayowekeza $1.5 billion ndani ya India kujenga viwanda, wakitoka china.

Why India could gain as firms move supply chains away from China

NB: Najua hujui lakini india kwa sahi ndiyo nchi yenye uchumi mkubwa kabisa ndani ya commonwealth i.e. GDP ya india imeshinda ya britain, na makampuni mengi ya india yamenunua makampuni ya britain kama range rover e.t.c.
 
The issue is not the amount one receives per month. But its purchasing power. If that difference does not elevate the normal living standard, then higher pay of kenya is like feeding on wind.
$26 haiwezi kununua chochote hata Afghanistan.
 
Tafadhali tunaomba ushahidi kwamba huu mwaka kuna makampuni 1000 yamepanga kuondoka China, kumbuka this is "October".

Hapa kinachosemwa katika hii article ni kwamba haya makampuni yamevutiwa na incentives zilizotolewa na China, huenda wakaenda huko.

Jambo linalonishangaza ni kwamba, Tanzania ikitoa incentives kwa kupunguza gharama za umeme ili kuvutia kampuni toka Kenya, inasema hiyo haiwezi kufanya kazi, makampuni ya Kenya hayawezi kuhama kuja Tanzania kwasababu ya Incentives, lakini India ikitoa incentives kwa kuvutia makampuni yaliyoko China, unashabikia na kusema makampuni 1000 yanaondoka soon[emoji23][emoji23], huwa unatumia vichwa vingapi?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…