joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Kama mngekua "honest to yourselves" na mkaanza kukubaliana na ukweli kwa yanayotokea kwenu, tungeweza kujadiliana njia na hatua mbalimbali za ufumbuzi. Tatizo lenu ni kujifanya mnajua kila kitu, hata penye ukweli pia mnajaribu kupinga na kuonyesha kwamba mambo yenu yapo vizuri.Sasa unafurahia sana kuona nyumba kubwa ya jirani ikiungua kwa moto mkali sana si ndio? Wewe mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya utakufa kutokana na wivu siku moja.
Kafrican jambo linalofanya tushindwe kumanufacture magari kama Morocco au T.V kama Egypt ni high cost of electricity. Tuko na everything else including educated workforce. Uhuru 2013 alianza na kutudanganya kuwa atainstall 5,000 MW. Kama angeinstall just 4,000 MW of cheap power say geothermal 7 U.S cents/kilowatthour au wind 8 U.S cents/kilowatthour ungeona venye wachinese wangejaa huku. Ethiopia wako na the cheapest power in Africa at 4$/kWh coz wanatumia hydroelectric power. Saa hii Ethiopia wanaexport viatu hadi Kenya. Hadi juzi hapa Nairobi nilinunua viatu ya Ethiopia. Pia nilisoma mahali venye Ethiopia saa hii wanaunda nguo za international brands kama akina Calvin Klein na wengine. Wanaexport viatu worldwide. Wachinese wanaofungua industries zao Ethiopia wanafurahia vitu mbili sana, extremely cheap labour and super duper cheap powerIncase haukusoma vizuri, hivi ndo ripoti ulioileta inasema kuhusu Tanzania na Uganda.
Orders from Kampala have dropped to Sh30.77 billion in the January-June 2019 from recent highs of Sh34.51 billion in 2013, the statistics kept by the CBK shows.
Half-year exports to Tanzania have dipped to Sh15.79 billion this year from Sh21.73 billion five years ago, while those from DRC have dipped to Sh6.86 billion from Sh10.12 billion.
Imports from Uganda, on the other hand, have doubled to Sh13.95 billion in June 2019 from Sh5.14 billion in 2014, while Tanzania’s has grown to Sh12.95 billion from Sh8.34 billion.
--------------------------------------
So Uganda exported 15.95B and imported 30.77B from Kenya
Tanzania exported 12.95B and imported 15.79B from Kenya.
Kwahivyo wewe mtanzania uache kujiingiza kwa hoja ambayo hata haikulengi, mwanzo sababu ya exports za Kenya kuja huko Tanzania kupungua si kwasababu ya viwanda vinavyojengwa huko, export zimepungua kwasababu rais wenu alianza ku apply protectionist measures kama kuzulia maziwa, pipi, biskuti na mengineyo, kama ingekua mmefungua soko huru kama vile kitambo ingekua tumejaza bidhaa zetu huko. Angalau Uganda tunajua ni kwamba viwanda vyao ndo vimeongezeka manake wako na soko huru ambalo linaruhusu bidhaa za kenya kuingia bila shida lakini licha ya hivyo, bado eports zetu zinashuka kwasababu zilebidhaa tulikua tukiwauzia sasa wanaweza kujitengenezea wenyewe..
Kule ambako kuna competition kwa Kenya hapa Africa ni ndani ya soko huru la COMESA ambapo Egypt anazidi kutuchapa game, kila kitu ambacho tuna manufacture hao wana uwezo wa ku manufacture mara mbili zaidi tena kwa bei ya chini zaidi.... Juzi baada ya kusoma nyuma ya Tv yangu vizuri nilihuzunika kidogo baada ya kugundua Tv yangu ya LG imeandikwa "Made in Egypt" si eti kwamba nilikua nawaonea dhiki, lakini nilikua najiuliza kama wanaweza kutengeneza products za LG inamaanisha wameanza ku replace China , kwanini pia sisi tusifanye hivyo??
Mbali na wachina wanaojaza bidhaa zao za bei ya kutupa huku Africa kusababisha bidhaa zetu ziwe hazinunuliki, Hao kina Egypt ndo Nchi za Africa zinazo sababisha intra Africa exports yetu ya Kenya izidi kushuka, Usijarubu kuingiza Tanzania kwa huo mjadala..
Ndani ya Comesa members, Egypt exports $2.4B followed by Kenya $1.6B
View attachment 1172954
Taarifa ulioileta kutoka kwa business daily inasema total exports za Kenya za first 6 months ilikua sh107B kumaanisha in 12 months itakua amngalau sh200B.. Ukiangalia hio screenshot hapo inaonyesha mwaka jana biashara ndani ya COMESA, Kenya ili export sh160B to comesa countries, kumaanisha only sh40B was exported by Kenya outside of Comesa.... So its inside COMESA region where It really matters to Kenya cause this is where 80% of our exports to Africa go to! Usihusishe Tanzania na haya mambo!
Hili bwawa la kuzalisha UMEME linalojengwa Tanzania, inasemekana UMEME utakua chini ya $5 cent by 2022, Kenya msipokua makini,viwanda vyenu havitoweza kupambana kabisa, viwanda Vingi vikubwa vinavyohitaji UMEME mwingi vitahamia Tanzania, "Mark my words".Kafrican jambo linalofanya tushindwe kumanufacture magari kama Morocco au T.V kama Egypt ni high cost of electricity. Tuko na everything else including educated workforce. Uhuru 2013 alianza na kutudanganya kuwa atainstall 5,000 MW. Kama angeinstall just 4,000 MW of cheap power say geothermal 7 U.S cents/kilowatthour au wind 8 U.S cents/kilowatthour ungeona venye wachinese wangejaa huku. Ethiopia wako na the cheapest power in Africa at 4$/kWh coz wanatumia hydroelectric power. Saa hii Ethiopia wanaexport viatu hadi Kenya. Hadi juzi hapa Nairobi nilinunua viatu ya Ethiopia. Pia nilisoma mahali venye Ethiopia saa hii wanaunda nguo za international brands kama akina Calvin Klein na wengine. Wanaexport viatu worldwide. Wachinese wanaofungua industries zao Ethiopia wanafurahia vitu mbili sana, extremely cheap labour and super duper cheap power
I know. However the chances of T.Z building that dam is next to zero "mark my words".Hili bwawa la kuzalisha UMEME linalojengwa Tanzania, inasemekana UMEME utakua chini ya $5 cent by 2022, Kenya msipokua makini,viwanda vyenu havitoweza kupambana kabisa, viwanda Vingi vikubwa vinavyohitaji UMEME mwingi vitahamia Tanzania, "Mark my words".
Hahahaha, mbona unachejesha sana?. Kana tayari mradi umefikia 8% nini kitazuia usikamilike?. Kitu kimoja ni lazima watu wakubali ni kwamba, "Magufuli is a man of action", akiamua kitu, lazima atatimiza tu. Kati ya SGR na hili bwawa, ninakuhakikishia hili bwawa litakamilika mapema tena kwa uhakika wa 1000%.I know. However the chances of T.Z building that dam is next to zero "mark my words".
Hata ujenzi bado haujaanza. Bado mnakata mitiHahahaha, mbona unachejesha sana?. Kana tayari mradi umefikia 8% nini kitazuia usikamilike?. Kitu kimoja ni lazima watu wakubali ni kwamba, "Magufuli is a man of action", akiamua kitu, lazima atatimiza tu. Kati ya SGR na hili bwawa, ninakuhakikishia hili bwawa litakamilika mapema tena kwa uhakika wa 1000%.
Sababu nimekuambia, ninyi mlikua mnabebwa na wazungu kuanzia 1963 hadi1990s. Katika kipindi hiki, Kenya ilipokea mitaji mikubwa kutoka nchi za kibepari iliyowezesha mjenge viwanda Vingi, pia bidhaa zenu zilipata soko zuri huko kwao baada ya Kenya kuchagua kuwaunga mkono wakoloni waendelee kuwatawala na kuwakandamiza waafrika.
Tanzania tulitengwa na kuwekewa vikwazo na nchi tajiri za wazungu, bidhaa zetu za KILIMO walizisusia kama njia ya kutulazimisha kuachana na juhudi za kuwakomboa waafrika.
Kuanzia 1990s, hali ya siasa ya duniani imebadilika na kuweka uwanja wa biashara katika "level" sawa, matokeo yake ni ile tofauti ya Kenya na Tanzania katika manufacturing sector inakwisha kwa kasi sana. Mlitegemea kubebwa na wazungu, sasa hivi wazungu hawapo mbaporomoka kwa kasi wakati sisi tunapanda kwa kasi.
Incase haukusoma vizuri, hivi ndo ripoti ulioileta inasema kuhusu Tanzania na Uganda.
Orders from Kampala have dropped to Sh30.77 billion in the January-June 2019 from recent highs of Sh34.51 billion in 2013, the statistics kept by the CBK shows.
Half-year exports to Tanzania have dipped to Sh15.79 billion this year from Sh21.73 billion five years ago, while those from DRC have dipped to Sh6.86 billion from Sh10.12 billion.
Imports from Uganda, on the other hand, have doubled to Sh13.95 billion in June 2019 from Sh5.14 billion in 2014, while Tanzania’s has grown to Sh12.95 billion from Sh8.34 billion.
--------------------------------------
So Uganda exported 15.95B and imported 30.77B from Kenya
Tanzania exported 12.95B and imported 15.79B from Kenya.
Kwahivyo wewe mtanzania uache kujiingiza kwa hoja ambayo hata haikulengi, mwanzo sababu ya exports za Kenya kuja huko Tanzania kupungua si kwasababu ya viwanda vinavyojengwa huko, export zimepungua kwasababu rais wenu alianza ku apply protectionist measures kama kuzulia maziwa, pipi, biskuti na mengineyo, kama ingekua mmefungua soko huru kama vile kitambo ingekua tumejaza bidhaa zetu huko. Angalau Uganda tunajua ni kwamba viwanda vyao ndo vimeongezeka manake wako na soko huru ambalo linaruhusu bidhaa za kenya kuingia bila shida lakini licha ya hivyo, bado eports zetu zinashuka kwasababu zilebidhaa tulikua tukiwauzia sasa wanaweza kujitengenezea wenyewe..
Kule ambako kuna competition kwa Kenya hapa Africa ni ndani ya soko huru la COMESA ambapo Egypt anazidi kutuchapa game, kila kitu ambacho tuna manufacture hao wana uwezo wa ku manufacture mara mbili zaidi tena kwa bei ya chini zaidi.... Juzi baada ya kusoma nyuma ya Tv yangu vizuri nilihuzunika kidogo baada ya kugundua Tv yangu ya LG imeandikwa "Made in Egypt" si eti kwamba nilikua nawaonea dhiki, lakini nilikua najiuliza kama wanaweza kutengeneza products za LG inamaanisha wameanza ku replace China , kwanini pia sisi tusifanye hivyo??
Mbali na wachina wanaojaza bidhaa zao za bei ya kutupa huku Africa kusababisha bidhaa zetu ziwe hazinunuliki, Hao kina Egypt ndo Nchi za Africa zinazo sababisha intra Africa exports yetu ya Kenya izidi kushuka, Usijarubu kuingiza Tanzania kwa huo mjadala..
Ndani ya Comesa members, Egypt exports $2.4B followed by Kenya $1.6B
View attachment 1172954
Taarifa ulioileta kutoka kwa business daily inasema total exports za Kenya za first 6 months ilikua sh107B kumaanisha in 12 months itakua amngalau sh200B.. Ukiangalia hio screenshot hapo inaonyesha mwaka jana biashara ndani ya COMESA, Kenya ili export sh160B to comesa countries, kumaanisha only sh40B was exported by Kenya outside of Comesa.... So its inside COMESA region where It really matters to Kenya cause this is where 80% of our exports to Africa go to! Usihusishe Tanzania na haya mambo!
Which manufactured goods do you sell to Tanzania?
We sell to you
1) Tiles
2) Konyagi
3) Energy drink
4)Wines (Dompo)
5) Cooking gas
6)White dent toothpaste
7)Iron sheet
8)Fruit juices
9)Safari &Kilimanjaro beer
10)Electric transformers
11)Electric poles
Just few to mention................
Hapo uko na point muhimu kabisa... Lakini pia naona the best way ni ku develepo Geothermal ambayo ni rahisi ku manage manake ni sisi ndo tuna develop.. Manake pia hua kuna madhara incase uzalishe umeme mwingi bila kuutumia manake kampuni ya umeme pia hulipwa per MW na sio per usage.... Unakumbuka vile serekali ya Kenya ilianza kulipa Sh 5 Billion per month kwa kampuni ya Lake turkana Wind power for almost 6 months sababu tulichelewa kufikisha transmission line kule Turkana baada ya ile kampuni ya kifaransa kushindwa kufikisha transmission line na LTWP walikua washamaliza ujenzi na stima iko ready. Alafu Serekali ikaamua kupitisha hio bill kwa directly wananchi badala ya kuilipa kupitia kodi ambazo tayari wameshakusanya.Kafrican jambo linalofanya tushindwe kumanufacture magari kama Morocco au T.V kama Egypt ni high cost of electricity. Tuko na everything else including educated workforce. Uhuru 2013 alianza na kutudanganya kuwa atainstall 5,000 MW. Kama angeinstall just 4,000 MW of cheap power say geothermal 7 U.S cents/kilowatthour au wind 8 U.S cents/kilowatthour ungeona venye wachinese wangejaa huku. Ethiopia wako na the cheapest power in Africa at 4$/kWh coz wanatumia hydroelectric power. Saa hii Ethiopia wanaexport viatu hadi Kenya. Hadi juzi hapa Nairobi nilinunua viatu ya Ethiopia. Pia nilisoma mahali venye Ethiopia saa hii wanaunda nguo za international brands kama akina Calvin Klein na wengine. Wanaexport viatu worldwide. Wachinese wanaofungua industries zao Ethiopia wanafurahia vitu mbili sana, extremely cheap labour and super duper cheap power
Do we have some form of free trade pact or market na Ethiopia.Kafrican jambo linalofanya tushindwe kumanufacture magari kama Morocco au T.V kama Egypt ni high cost of electricity. Tuko na everything else including educated workforce. Uhuru 2013 alianza na kutudanganya kuwa atainstall 5,000 MW. Kama angeinstall just 4,000 MW of cheap power say geothermal 7 U.S cents/kilowatthour au wind 8 U.S cents/kilowatthour ungeona venye wachinese wangejaa huku. Ethiopia wako na the cheapest power in Africa at 4$/kWh coz wanatumia hydroelectric power. Saa hii Ethiopia wanaexport viatu hadi Kenya. Hadi juzi hapa Nairobi nilinunua viatu ya Ethiopia. Pia nilisoma mahali venye Ethiopia saa hii wanaunda nguo za international brands kama akina Calvin Klein na wengine. Wanaexport viatu worldwide. Wachinese wanaofungua industries zao Ethiopia wanafurahia vitu mbili sana, extremely cheap labour and super duper cheap power
Hata ujenzi bado haujaanza. Bado mnakata miti
Hvyo ndvyo mnavyojidanganya...eti kutoka 1960s hadi 1990s tumebebwa na wazungu...huaga nacheka sana ninapoiskia hyo kauli kutoka kw watanzania...yani hyo inadhihirisha wivu, tena ule wivu m'baya...halafu mnapoleta swala la eti sijui mmeikomboa afrika huaga nacheka sana...historia zingine bana,hta hazina mshiko...
Kuhusu manufacturing yenu kukua kw kasi ni kupi..manake mi nakushangaa..ama labda uniletee data hapa inayoonyesha hata km ni graph...
Kwasababu hujawahi kuona HIV kwa macho, basi havipo huko Kenya?, stupid.Ghosh...sijawai ona juice fruit ya tanzania kenya,siju safari kilimanjaro beer..sijawai iona pia...so hzo story zako za vijiweni kaa nazo
Kuhusu kuikomboa Africa, ninyi wakenya hamuwezi kujua nani aliyefanya hiyo kazi, kwasababu ninyi mlikua mkiwaunga mkono wakoloni, ila wenyewe waliokombolewa ndio wanakumbuka watu na nchi zilizowakomboa. Msikilize Mugabe kwa makini ili ujifunze Historia ya ukombozi wa Africa.Hvyo ndvyo mnavyojidanganya...eti kutoka 1960s hadi 1990s tumebebwa na wazungu...huaga nacheka sana ninapoiskia hyo kauli kutoka kw watanzania...yani hyo inadhihirisha wivu, tena ule wivu m'baya...halafu mnapoleta swala la eti sijui mmeikomboa afrika huaga nacheka sana...historia zingine bana,hta hazina mshiko...
Kuhusu manufacturing yenu kukua kw kasi ni kupi..manake mi nakushangaa..ama labda uniletee data hapa inayoonyesha hata km ni graph...
Kwasababu hujawahi kuona HIV kwa macho, basi havipo huko Kenya?, stupid.
Acha ujinga wewe, unataka kila product lazima wewe personally uwe umeiona?, Mimi huku niliko sijaona hata product moja toka Kenya, kwahiyo unataka kusema products za Kenya hazipo Tanzania?Sasa unataka kulazimisha km vipo...sasa wacha kuviona..hta kuviskia vikitajwa na jamii inayonizunguka ya kwamba wanatumia...labda hko mipakani
Kw energy drink tena ya azam...hyo wacha kuiona..hta kuitumia niliitumiaga sana...na inapatikana kw sana...lkn hvyo vingine baba...rudisha kijiweni...havina ushawishi mkubwa kenya
Which manufactured goods do you sell to Tanzania?
We sell to you
1) Tiles
2) Konyagi
3) Energy drink
4)Wines (Dompo)
5) Cooking gas
6)White dent toothpaste
7)Iron sheet
8)Fruit juices
9)Safari &Kilimanjaro beer
10)Electric transformers
11)Electric poles
Just few to mention................
Ethiopia hata saa hii ndio ati wanataka kujoin WTO. Yaani they were not trading with many countries lakini saa hii wameamka na wamekuja na ubaya.Do we have some form of free trade pact or market na Ethiopia.
Ikiwa sio hivyo basi it's time iwe tit for tat.
Trump is the most wise POTUS ,currently.
Kwanini unadhani hatutaweza, i'm just honestly curious.I know. However the chances of T.Z building that dam is next to zero "mark my words".