Uchumi wa Nchi unapodorora kama huu wa Tanzania, lawama ziende kwa Rais au Waziri wa Fedha?

Sasa ni dhahiri kwamba maisha ya Watanzania yamekuwa magumu kuliko awamu zote zilizopita , familia nyingi sasa zinakula mlo mmoja tu , huku Maharage yakiwa Chakula Muhimu kabisa .

Ni kweli kwamba Mambo ya Utekaji , kuokota viroba vya maiti baharini na kwingineko na ubambikaji kesi za uongo , zilizoitwa za uhujumu uchumi na Utakatishaji fedha kwa sasa yamepungua (Hayajaisha) , lakini maisha ya Raia yamekuwa kizungumkuti , hali ni mbaya mno ! Mzunguko wa pesa ni kama hakuna , watu wamekuwa masikini mno ! Chakula Kikuu kimekuwa Mihogo na Maharage .

Hata sisi tuliobarikiwa kidogo ni kama tuko matatani , tunapigwa mno mizinga na wenye uhitaji kuliko kipindi chochote kile , shida ya nchi hii ni nini ?

Sasa katika hali kama hii ya sasa nchini Tanzania ni Nani alaumiwe , Ni Rais wa Nchi au Waziri wa Fedha ?
Bahati nzuri Uchumi sio hisia zako na njaa zako binafsi..

Unapimwa Kwa vitu vidogo Sana ,mosi ni Mwenendo wa mapato ya serikali,ukiona yanaongezeka ujue mambo ni matamu..

Pili sekta ya Ujenzi,ukiona huko mtaani hardware zinauza na watu wanajenga basi wewe jua Uchumi uko mtamu..

Na mwisho nenda Bar saizi harafu uje na jibu..Jiwe aliwahi waambia kama uchumi ni mbaya watu wameacha kwenda kushona nguo kwa mafundi au sherehe zimeacha kufanyika?
 
Kuna muda akili zako zinaruka
 
Sasa ni dhahiri kwamba maisha ya Watanzania yamekuwa magumu kuliko awamu zote zilizopita , familia nyingi sasa zinakula mlo mmoja tu , huku Maharage yakiwa Chakula Muhimu kabisa .

Ni kweli kwamba Mambo ya Utekaji , kuokota viroba vya maiti baharini na kwingineko na ubambikaji kesi za uongo , zilizoitwa za uhujumu uchumi na Utakatishaji fedha kwa sasa yamepungua (Hayajaisha) , lakini maisha ya Raia yamekuwa kizungumkuti , hali ni mbaya mno ! Mzunguko wa pesa ni kama hakuna , watu wamekuwa masikini mno ! Chakula Kikuu kimekuwa Mihogo na Maharage .

Hata sisi tuliobarikiwa kidogo ni kama tuko matatani , tunapigwa mno mizinga na wenye uhitaji kuliko kipindi chochote kile , shida ya nchi hii ni nini ?

Sasa katika hali kama hii ya sasa nchini Tanzania ni Nani alaumiwe , Ni Rais wa Nchi au Waziri wa Fedha ?
Mshike mwenye mbwa na kamba.
 
Siku hizi nashindia K-Vant ,mpaka vijana wa ccm wananipiga kizinga bar na wamechoka hao kazi kaupiga mwingi ukiwauliza wanatoa macho kama wameshindwa kujamba ndani ya ndege
 
Mkuu anayelia siyo mimi mwenye makazi nchi zingine , waliaji ni Watanzania wenzako
Sasa kwa nini unapoteza muda wako huku?
Hii ni ishara kwamba mliaji namba moja ni wewe.

Kwa jinsi unavyohangaika 7×4×12 labda hizo nchi zingine ni pale Boma na Rundugai.
 
Vp , Demokrasia haikuweza kupandisha maendeleo?

Hapa ndo tunajua degree ni useless , Ila uwezo binafsi mtu aliumbiwa na MUNGU ni kila kitu
Tanzania Kuna demokrasia kuanzia lini ?
 
Sasa ni dhahiri kwamba maisha ya Watanzania yamekuwa magumu kuliko awamu zote zilizopita , familia nyingi sasa zinakula mlo mmoja tu , huku Maharage yakiwa Chakula Muhimu kabisa .

Ni kweli kwamba Mambo ya Utekaji , kuokota viroba vya maiti baharini na kwingineko na ubambikaji kesi za uongo , zilizoitwa za uhujumu uchumi na Utakatishaji fedha kwa sasa yamepungua (Hayajaisha) , lakini maisha ya Raia yamekuwa kizungumkuti , hali ni mbaya mno ! Mzunguko wa pesa ni kama hakuna , watu wamekuwa masikini mno ! Chakula Kikuu kimekuwa Mihogo na Maharage .

Hata sisi tuliobarikiwa kidogo ni kama tuko matatani , tunapigwa mno mizinga na wenye uhitaji kuliko kipindi chochote kile , shida ya nchi hii ni nini ?

Sasa katika hali kama hii ya sasa nchini Tanzania ni Nani alaumiwe , Ni Rais wa Nchi au Waziri wa Fedha ?
Lawama ziende kwa makada wa ccm walioshiriki kupanga matokeo ya uchaguzi kama Rasi angekuwa Lissu yote yasingetokea
 
Nani kakwambia uchumi wa Tanzania umedorola. Au mfukoni kwako ndo pamedorola. Nenda Arusha na kwingineko uone jinsi utalii ulivyoshamili na watu wanachapa kazi. Nenda kwenye mabank uone jinsi watu wanavyofanya transactions za mamilions. Nenda mashambani uone jinsi wakulima wanavyofurahia awamu hii baada ya masoko ya uhakika kupatikana tofauti na jpm aliyeua masoko kwa ubabe. Labda uliniambia kipindi Cha jpm uchumi ulidorola hapo tutakubaliana
Sasa ni dhahiri kwamba maisha ya Watanzania yamekuwa magumu kuliko awamu zote zilizopita , familia nyingi sasa zinakula mlo mmoja tu , huku Maharage yakiwa Chakula Muhimu kabisa .

Ni kweli kwamba Mambo ya Utekaji , kuokota viroba vya maiti baharini na kwingineko na ubambikaji kesi za uongo , zilizoitwa za uhujumu uchumi na Utakatishaji fedha kwa sasa yamepungua (Hayajaisha) , lakini maisha ya Raia yamekuwa kizungumkuti , hali ni mbaya mno ! Mzunguko wa pesa ni kama hakuna , watu wamekuwa masikini mno ! Chakula Kikuu kimekuwa Mihogo na Maharage .

Hata sisi tuliobarikiwa kidogo ni kama tuko matatani , tunapigwa mno mizinga na wenye uhitaji kuliko kipindi chochote kile , shida ya nchi hii ni nini ?

Sasa katika hali kama hii ya sasa nchini Tanzania ni Nani alaumiwe , Ni Rais wa Nchi au Waziri wa Fedha ?
 
Kila Mtanzania anapaswa kulaumiwa katika hili, Watanzania kukubali kuwa wanyonge miaka yoote ndio lawama zinapaswa kuanzia.
 
Back
Top Bottom